Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Msaada kama inavyosomeka hapo juu waungwana.. Itapendeza ikiwa inapatikana play store Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Njia nyingine ukiachana na hi ya kutumia appyet ambayo naijua Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada wenu wadau Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
482 Views
wakuu habari za muda .... nina tatizo ninahitaji kufanyiwa setup ya website mpya ambayo nina source code tayari hivyo kuna vitu nimekwama tafadhali njoo pm tufanye makubaliano ili tufanye kazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnijuze naweza vipi ku install katika iPad apps ambazo awali nilizi install Mara ya kwanza na baadae nikazifuta. Apps hizo ni Facebook na imo Nimejaribu kwenda katika store ya apps...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Hizi ni Bugs ambazo Nakutana nazo Mara kwa Mara ...Angalia Hio picha kwenye Dp upande wa Replies Juu inaonyesha Vingine na Chini Inaonyesha Vingine Wakat Picha Halisi ya Dp niya upande wa Chini sa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi unawezaje kumtumia mtu sms privately kwenye twitter? Au hainaga inbox kama Watsupp, fb na instergram Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
394 Views
*UTEUZI* Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya mabadiliko kidogo katika muundo wa Serikali kwa kuigawa Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele.Nina kilaptop changu,kimeniletea matata.Jana wakati najaribu kuinstall AVG antivirus,ikaonesha kama mistari mistari kwenye screen halafu ikaacha kudisplay Nikaizima...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuwa TV si kazi ngumu lakini kazi ni kuchagua TV iliyo bora kulingana na bajeti yako. Kwa kuliona hilo nimeamua kufanya utafiti na kuchagua TV zilizo bora kulingana mahitaji na kipato cha...
5 Reactions
40 Replies
13K Views
Simu ya sumsung s3 imekufa tachi wapi naweza badili tachi nyingine kwa bei nzuri? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Na Maryam Kidiko - Maelezo. 02.03.2019 Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Hassan Khamis Hafidh amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itachukuwa hatuwa kali kwa Mfanyabiashara yoyote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye kuelewa pc yangu ina tatizo la kutojaa chaji naomba nisaidwe kwa hili
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nina changamoto kidogo, Camera ya Sumsung Galax A6 inabadilisha size ya picha yenyewe. Mfano naweza seti Megapixel 16 baada ya muda nakuta iko Megapixel 10. Hili linatatuliwaje?. Asanteni. Sent...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WOW [emoji3][emoji3][emoji3] RWANDA MADE IT[emoji341] It was history made , as Rwanda launched the first ever Satellite in its skies to connect schools with internet across its remote parts of...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Tatzo nn mpaka ina jum Mara nying afu IPO slow sana mara inaganda pia inaandika hivyo hii tiba yake nn Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Nataka kujua process zote za ku hack hili game pendwa kama kupata coins na kuweka unlimited player development.[emoji113]
0 Reactions
104 Replies
29K Views
Salam waugwana wa jukwaa hili pendwa. Nimekuwa mtumiaji wa simu ya mkononi kwa muda mrefu tu pia badhii ya vifaa kama kompyuta n.k. Sasa kifaa kama simu ikiwa kitatunzwa vizuri bila kupata...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu naomba mwenye kujua app ya android itakayoniwezesha ku lock torch ya simu ili kuzuia tochi hiyo kuwaka kwa bahati mbaya (mara nyingi hutokea wakati simu ikiwa sikioni ) Sent using Jamii...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Back
Top Bottom