Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu. Namtafuta black hachker Tufanye kazi! Website Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
618 Views
Wakuu msaada system yangu Sony DAV-DZ350, subwoofer haitoi sauti hata sielewi tatizo nini maana nilikua nakula ngoma fresh tu bass mtetemo hadi utumbo unacheza tumboni. ghafla bass ikakata lakini...
0 Reactions
58 Replies
10K Views
Habari wakuu. Tafadhali naomba kujuzwa namna ya Ku buruza video,movie au audio iende kwenye vlc Ili icheze Kwa kutumia "keyboard shortcut key" pekee. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwenye uelewa au kufahamu namna ya kupata miwani hii ya kupunguza mionzi y mwanga wakati wa kutumia computer, ili kuepusha macho kuharibuka Asanteni
0 Reactions
28 Replies
14K Views
Naomba kujua hiyo software
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimedownload App ya POPCORN TIME, Ila inagoma kuangalia Movie inasema niakitivet VPN, nami sina hela ya kulipia, Kwa hiyo naomba kama kuna mtu anajua jinsi ya kuangalia bure anisaidie tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa naomba msaada, shida yangu ni kwamba mimi ni karani wa Kanisa na nina majina na namba za washiriki zaidi ya 700 na ninahitaji kupata app ambayo nitaitumia nikihitaji jina la mtu na type...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari.kama kichwa kinavyo jieleza.nahitaji kuanza kuagiza bidhaa mtandaoni. (1)mtandao/mitandao gani ya uhakika (11)risk/changamoto (111)mahitaji au viambatanishi kabla na baada ya kuagiza...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
3D,4D&7 Kwa wale wenye uelewa wa mambo haya naomba kufafanuliwa kidogo juu ya mambo haya japo yamekaa kinadharia sana ila kuna wakati huwa yananiacha na maswali mengi binafsi huwa nakosa jibu...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Kikweli mimi siyo mtaalamu sana wa laptop nina kama laki 350 hivi mnaweza nisaidia kunitajia laptop ipi nzuri naweza pata kwa hiyo bajet yangu? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina plan ya kununua home theater ya LG, Vipi kwa waaalamu wanaojua bidhaa za LG mawazo yenu kidogo nisije nikajikuta najuta afu ndo nishatoa mpunga mwingii..... ziko poa ???? naomben msaada wenu
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hi wana JF Naomba msaada kwa ambae anaweza kuwa na PDF ya vitabu vya kujifunza kutengeneza applications za simu kwa beginners. Nahitaji niwe IT kwa kujisomea mwenyewe, at least now nimejifunza...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Kampuni ya teknolojia ya nchini marekani Nvidia Inayojihusihsa sanasana na utengenezaji Graphics card za computer hivi karibuni ime reveal graphics card zao mpaya ambazo ni GEFORCE RTX 2080 Ti...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimeletewa zawadi na mtu anayeamini naweza kuwa na interests nayo. Zipo zaidi ya 10. Nafikiria kuziuza na pesa kununulia kitu kingine kitakachonifaa na ambacho kitakuwa mbadala wa zawadi hii...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wadau,toka leo asubuhi TBC 1 sijaipata je wamebadiri masafa? Msaada wadau. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu Nimepewa zawadi ya Vodafone smart tab 3g nd6o ninayoandikia huu Uzi Natafuta simu ya kawaida yeyote ila iwe haina tatizo maana tablet yangu haina ttzo lolote Tubadilishane Ama kama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tunatumia bulk SMS service kutoka kwa mdau mmoja TZ(jina linahifadhiwa) kutuma SMS kutoka kwenye software yetu kwenda kwa wateja wetu. Kwa bahati mbaya kumekuwa na delay kuubwa sana (>2 minutes)...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nahitaj kubadili fonts ziwe kama za Samsung lakn nashindwa kwny setting hakuna Ila kuna namna ya kufanya kuzipata je, nafanyeje?? Msaada plz Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nataka kuandika kitabu kwa habari ya Technolojia (sijaamua bado kama itakuwa ni Software Engineering, Networks au Databases) ila kuna maeneo nataka kusikia maoni yenu, Lugha ya kutumia ili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana bodi, Nadhani mtakubaliana nami kuwa university ofa ni suluhisho na ni mbadala wa kubana matumizi katika mitandao ya simu. Leo katika kuangalia menu nimekuta ofa moja tu ambayo nayo...
1 Reactions
112 Replies
18K Views
Back
Top Bottom