Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Lap top yangu aina ya lenovo thinkpad ilizima ghafla na sasa hivi nikiiwasha batan ya kuwashia inawaka kama sekunde moja na wakati wa kuwasha kama ina vibrate afu inazima tatizo ni nini au ndo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda.. Natumai mu wazima na majukumu ya hapa na pale hasa katika suala zima la TEHAMA Ninatumia Samsung J5 ina ukubwa wa GB 4 internal storage yake...nimenunua memory card ya GB 8...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau nimedownload kitabu flani hivi lakini kila nikifungua ili nikisome hakifunguki inaandika UNABLE TO FIND APPLICATION TO PERFORM THIS ACTION...je kuna app yoyote natakiwa niwe nayo ili niweze...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Naomba msaada it 6910 reset
0 Reactions
2 Replies
439 Views
Mwaka huu nime barikiwa na mawazo mengi ambayo yamefanya kichwa changu kuvurugika nikifikiria ni jinsi gani naweza kuisaidia jamii yangu kiujumla. Ndipo nikaja na wazo hili la kuandika kitabu...
6 Reactions
84 Replies
9K Views
nina lap top yangu iliingilia na maji sasa ikiwashwa inanesha taa zote kuwa imewaka but hadisplay chochote kwenye monitor. kama ww ni fundi upo dodoma nione PM tuyajenge, ila ushauri pia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NAOMBA KUJUA KAZI YA VIFAA HIVI: 1:DIODE 2:CHARGER CONTOLER ENDAPO KIMOJA KITAKOSEKANA MADHARA GANI HUTOKEA KWENYE MFUMO HUO WA UMEME JUA ?
1 Reactions
40 Replies
14K Views
Naomba kujua kwa ufasaha hizi course za IT zina dill na nn hasa. 1.Information and communication Technology 2.Information and telecommunications technology 3.Computer Engineering 4.Computer...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
App gan inaweza nisaidia kujua kilometer nlzotembea may be kwa gar yan umbal Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
741 Views
Habar wadau nipo kwenye tuta. Nataka kuinstal Microsoft office kwenye mac book. Naombeni mnielekeze na kama mtu anayo anisaidie. sent using [emoji85]
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina Iphone 6s i.o.s 12.1.4 imetoka na nimejaribu kuipakua inagoma naomba msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
938 Views
I need to export a few text messages on Android phone to a computer for print. What is the right way to do this?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
We’re shutting down Google+ for consumers on April 2, 2019. No other Google products (such as Gmail, Google Photos, Google Drive) will be shut down as part of the consumer Google+ shutdown...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu? Simu yangu iPhone 5s imezima tochi haiwaki tatizo linaweza kuwa nn,msaada tafadhari. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Habari wana JF, Natumaini wote ni wazima na mnaendelea na harakati zenu kama kawaida. Kwa siku ya leo ningependa kushare na nyie njia rahisi ambayo unaweza kutumia kuondoa matangazo kwenye app...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mwenye 6s plus yenye reactivation lock (icloud lock) au labda ina matatzo mengne lakin kioo na body viko sawa. Anicheck inbox kwa Biashara. Nicheck 0763976109 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Habari zenu wapendwa Nina TECNO C5s imezima ghafla kwa anaeweza kuflash ajitokeze
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habarini za humu Nina Laptop yangu ina Window 7 na nimeweka Ant-Virus,Sasa Ilikuwa ina Connect WiFi lakini inaandika NO INTERNET ACCESS,Nikasema nifuate njia moja Hivi Youtube nimeifuata Ile Njia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Looking for Lithium rechargeble batteries,at least 100pcs.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom