Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa anayejua app ya Android inayoweza kuextract audio kutoka kwenye file lenye extension .pvr anisaidie. Nimezunguka play store Kila niliyoinstall imegoma. Usiku mwema Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Habar wapendwa, Pc yang nkiiwasha inanianiletea hv.. msaada kwa mweny kujua nin tatzo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kati ya Samsung s7 edge na Infinix note 5 ipi nzuri zaidi kwa matumizi ya kawaida ya simu? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina IMEI zake, je naweza kujua iliko? msaada tafadhali
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau wa Android, nataka app yetu iwe na uwezo wa kupokea SMS (One Time Password) inayotumwa kutoka kwenye server-side kuja kwenye android mobile app. Nimejaribu kufuata na ku-implement kama...
0 Reactions
2 Replies
788 Views
Ili kuzuia nywila zako zisidukuliwe kupitia social engineering, brute force au njia ya dictionary attack, na kuhifadhi akaunti zako za mtandaoni salama, unapaswa kuzingatia yafuatayo: 1...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habrn ndugu zang..naombeni msaada wa keys za Kaspersky ..version 19.0.0.1088 asanten kwa muda wenu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naomba tofauti ya hizo course ! mm cjazielewa
1 Reactions
8 Replies
2K Views
wakuu nahitaji msaada wa link ya kudownload fifa 19 ultimated edition cracked
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau Habari za jioni, kioo cha laptop yangu ya HP kimepata crack nitapata msaada wa Replacement wapi, niko Moshi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Wana Jf naomba msaada wa kunifahamisha ni metal detector gani iliyo nzuri kwa gold prospecting/hunting? ambayo inaweza kupambanua aina ya madini yaliyoko ardhini na umbali yaliyoko.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Keyboard Shortcuts (Microsoft Windows) 1. CTRL+C (Copy) 2. CTRL+X (Cut) 3. CTRL+V (Paste) 4. CTRL+Z (Undo) 5. DELETE (Delete) 6. SHIFT+DELETE (Delete the selected item permanently without...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
nataka kujua matumizi ya F1_F12 kwenye computer naombeni msaada wenu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau Habari za jioni, kioo cha laptop yangu ya HP kimepata crack nitapata msaada wa Replacement wapi, niko Moshi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Wadau Habari za jioni, kioo cha laptop yangu ya HP kimepata crack nitapata msaada wa Replacement wapi, niko Moshi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Wadau Habari za jioni, kioo cha laptop yangu ya HP kimepata crack nitapata msaada wa Replacement wapi, niko Moshi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Naomba kuelezwa tofauti kati ya hizo gari mbili yani tiida na raum unafuu wake na gharama zake 1.engine zake zinavyokula mafuta 2.ubora wake 3.mazingira yapi zina faa. 4.muonekanoo N.k...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Habari njema kwako mteja wa kisimbusi cha Continental unayetumia dish sasa marekebisho ya mitambo yetu yamekamilika. Tupate kwenye Satelite ya Azerspace 2 45E Freq 11637 SR 30,000, Mod8PSK , FEC...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Do you have any question concerning C/C++, Java, Python, PHP & Yii, JavaScript & JQuery? Ask me a question (AMAQ) is the way to go. I will find time to answer any question ... as much as I can :)...
3 Reactions
95 Replies
8K Views
Jamaa yangu kaniuliza swali ila nimeona badala ya kumjibu moja kwa moja kwa kile nikifahamu mie nilete hapa yawezekana nikapata maarifa zaidi ya kile nikijuacho.. Kuna tv zipo 3. Anachukuliwa...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Back
Top Bottom