Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu nawezaje kupata channel kwa smart TV kwa kutumia antenna bila decorder??
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu Niende kwenye mada moja kwa moja, wakuu naomba msaada wenu kuelekezwa namna ya kutoa lock kwenye simu yangu nimesahau password. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Joram Dymisster kuna tatizo la blog yangu kuhusu pageviews kuwa tofauti sana kwenye blogger na kwenye adsense account hadi nlianzisha thread lakini sikupata jawabu. Je unajua mbinu za kuifanya...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu naomba kuuliza kuhusu hii simu tajwa hapo juu ubora wake na je ni imara? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Guys samahani Kwa usumbufu. Naomba kufahamishwa jinsi ya kujiunga na cable tv, zina madhara gani, faida zake, zina channels ngapi, umuhimu wake na gharama. Ahsanteni
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Sony Ericsson XPERIA X1: ------------------------- (pic. credit: expansys) Technical Details: •Design - XPERIA™ panels - Optical joystick navigation - Navigation key -...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Wadau naomba kujua namna ya kutengeneza google forms ambazo unaweza kumtumia mtu link akajaza kisha akakutumia. Bado sijapata ufumbuzi kwa hili msaada unahitajika. Sent from my TECNO L9 Plus...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau wa jf mambo vip mnisaidie program ya kuwasha kopyuta na jinsi ya kuipakuwa mtandaoni au mwenye nayo anisaidie wapendea Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
826 Views
wakuu Habarin ?? Nimeandika uzi huu baada ya kuona mambo kadhaa ambayo ni mhimu kwa Namna moja ama Nyingine Yaongezwe kwenye Forum Yetu hii ..pengine Naweza kuwa mm ndo nimeona Yana Umhimu na...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu wale ambao wanania ya kutengeneza pesa mtandaoni nimekutana na hawa jamaa wa bestchange affiliates, ni rahisi kuregister na ni kweli wanalipa. E-currency exchanger listing, best rates from...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu ni App gani nzuri kwa kuitumia kama diary au notebook? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
POST ILISHAFUTWA
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Bank kubwa na kuna ma ethical hackers wazito lakn still mko uchii System administrator....... Hi [emoji3577] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
38K Views
Zamani hizo mitandao ya simu ilikuwa inatoa huduma hii. Lakini siku hizi imekuwa nadra sana kuona mnara wa simu ukiwa na hii huduma. Labda uwe wa zamani sana. Huduma hii ilikiwa inamuwezesha...
0 Reactions
5 Replies
980 Views
Ndugu mimi nina akaunti Twitter ambayo nililog out na sasa nikitaka kulog in inanikatalia hata hainitumii conformation message sasa sijui nifanyeje wanajopo. . Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hii hapa ianatokea unapotaka ku share picha moja ,sim inakataa na kuandia sorry the systeam of android is stopped lakini neno ilo linatoka fastaer mno na kuliondoa upes ,unapo cklick picha zaid ya...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
samahnn samsung yangu s6 inashindwa kuampdate kutkoka vesion moja kwenda nyingine jambo ambalo linaifanya iwe very slow na ukienda setting kwenye software update inashindwa kufungua kuleta ile...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu, natafuta PCB (mashine) ya HP G1 450. Kwa yeyote mwenye nayo. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani mwenye software ya iboysoft iliyo full cracked naomba anisaidie. Hii software inatumika kurecover hard disk zilizoliwa na virus. Kama external au usb flash ukiichomeka ina dia u format...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Wadau naomba kujua namna ya kutengeneza google forms ambazo unaweza kumtumia mtu link akajaza kisha akakutumia. Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
1 Reactions
3 Replies
917 Views
Back
Top Bottom