Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Tatizo hili husabaishwa na nini na lipi suluhisho lake ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta duka la simu linalouza simu za tecno kwa bei rahisi. Ili ninunue
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi watu ambao hua wanasema tecno ina camera nzuri hua wanalinganisha camera ya tecno na camera ya simu gani? Mimi nachojua tecno hua wanatoa camera zenye megapixel nyingi sana, unaweza kukuta...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Universal Android app Template IPO. Unaweza Tengeneza app ya aina mbali mbali kupitia template hii: App kwa ajili ya blog ya WordPress+ blogger Webview app YouTube channel App Online TV + Radio...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wataalam wenzangu,kwanza kwa hapa dar astra 2F @ 28'E na nilesat 7'W zinaweza kupatikana kwa dish saizi gani na ku aina gani?na kama kuna yeyote aliyewahi kupata zote hizo au mojawapo, aweke...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Nina simu yangu ya Nokia inatumia window 8.0 nataka ku update msaada wapi naweza ku update ata kama Kwa link plz share Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
628 Views
Wakuu, Nina application yangu nimeiachia play store inaitwa hellodokta (Beta version release now) inayousu maswala ya afya ya uzazi wa kike na kiume pamoja na afya ya mtoto. Basically app hii...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Naomba msaada wadau, wapi naweza kupata powervu software ya hometech receiver na firmware reciever zangu zote zinafungua hbo pekee,zinagoma kufungua AFN SPORT na SONNY package. Msaada wenu...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Je umemaliza maswala ya IT hasa Programming kwa kutumia C++ (with MySQL)? Nipo na kikundi cha Watanzania kadhaa katika kuanzisha Biashara ya IT. Tunatafuta Wataalamu wawili ambao watakuwa Wabia...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu quality ipi inafaa kwa kifaa kipi, unakuta mtu anasifia sana anacheki muvi ya 1440p kwenye laptop yake na mwengine anasema 720p ndio inafaa kwenye tv yake inch...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nifanyeje ili nitumie monitor ya pc kuifanya tv. Yaani monitor kuigeuza tv screen. Nafanyanje kama inawezekana. Nasimia wanyarwanda wanafanyaga ivo. Sijui,
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar za mida hii wakuu, naomba kusaidiwa Jins ya kufix video stuck katika laptop yangu ni HP min nikiangalia video au movie yoyote kwenye laptop inakuwa ina scratch na kustuck wakat nikiamishia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mashine ya simu yangu imekufa..baada ya kupiga shoti..ninaomba mwenye mashine ya sim tajwa aniuzie.namba yangu n 0719098138 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
926 Views
Salaam! Naomba kujua video format ambazo ziko supported na Tv za Star X ambazo sio smart tv maana nimejaribu ku Play MP4 zimegoma! Naambiwa kwa kiingereza cha ki china Video Not Support
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habarini wakuu, Mimi nimekumbwa na dhahama ya huyo mdudu Ni wiki mbili sasa zimepita. Nimejaribu kurestore PC ILA hakuna nafuu yoyote, Natumia Windows 10(64bit) na built in antivirus(ambayo naona...
0 Reactions
2 Replies
836 Views
je! wadau kuna madhara gani kama huku update hizi app kwenye simu za android(chrome,google drive,gmail,google photo na YouTube). Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Natafuta miwani ya jicho moja(yaani kwa mtu anayependa kufunga jicho anapopiga shabaha ndio wanaoitumia), Au kikamba fulani hivi wanavaaga watu kinakuwa na kijisehemu cha kufunika jicho moja. Kazi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wanaJF. Nafanya tally erp 9 configuration katika ishu zangu lakini NIMESHINDWA NA BADO SIJAFAHAMU NAMNA YA KUFIX NUMBER OF ITEM PER PAGE WAKATI WA KUPRINT. MAANA KUNA WAKATI INAPRINT ITEMS...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahani, WanaJF! Naomba mnitajie majina ya vitabu vya Information Technology (IT) vinavyohusiana na "DATABASE, "NETWORK" & "HACKING SYSTEM" navihitaji sana. Kama mnazo link za vitabu hivyo...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba elimu hizi smart phones na esp WhatsApp watu wanashare photos m,bali mbali na zinajisave automatic kwenye galley....how do I avoid this inajaza simu na un wanted photos... SAIDIA ELIMU...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom