nimekua nikijuuliza kwa mda sana ni namna gani app developers wananufaika na app zao, na je unaweza kutengeneza shingapi kwa kila app uliyotengeneza naombeni msada wenu wakuu kw mwenye ujuzi...
habari wakuu na jua mnaendelea vyema na majukumu ya kujikwamua kimaisha tuko pamoja naombeni msaada wenu kwa yeyote mwenyewazo la aina gani ya app nitengeneze itakayo nisaidia kutatua matatizo ya...
Habari wanajamvi ,nilisajili mpesa-mastercard na nikawa naitumia vizuri ,mnamo tarehe 23 mwezi huu inanikatalia kufanya shopping online kila nikijaribu inaniambia payment is Unsuccessful...
Kwa wale wanaojua vizuri computer hasa specification hii mnaionaje? Je ni nzuri upande wa speed, graphics na uwezo wa kusukuma pc games kubwa, graphic design nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau habar zenu?? Naombeni kuuliza Eti kati ya IPhone na Android ipi ni nzuri kimatumizi Pia hata ki Ubora ..?
Ukiachana na Nijuavyo Iphone ni nzuri kiulinzi Je nikitu gani Kingine bora kwenye...
Habari wakuu. Poleni na Majukumu.
Wakuu nimepata changamoto baada ya kununua simu Online (aliexpress).
Simu hii imegoma kusoma SIM CARDS za hapa Nyumbani Tanzania.
Nimeangalia ABOUT...
Habari za jioni wakuu.
Nimekuwa na interest ya kujua kutumia drones natamani nimiliki ya kwangu mwenyewe siku moja, nachopenda kujua ni bei za drones za kawaida au kuchezea kwa hapa Tz.
Sent...
•Nafanya Flashing ya Smartphones kama imekua "HARDBRICKED" Kwa maana simu haiwaki kabisa au "SOFTBRICKED" Kwa maana smartphone yako either ina bootloop to recovery or Android logo.
•Pia nafanya...
Habari za asubuhi wana jamvi, nina simu yangu aina ya exbonilikuwa natumia line zote baadae ikaingia virus nikaamua kui restore sasa cha kushangaza sasa hivi zile line hazisomi mtandao, nikienda...
Kwa wale wenye uzoefu na adsense ni kwamba unapokua umefanikiwa kukusanya kiwango fulani basi kuna taarifa za kiposta unatakiwa kujaza ili utumiwe PIN ya kuthibitisha anuani yako.Maswali yangu ni...
Monitor ya pc yangu imeweka mistari ya rangi ya kijani iliyosimama wima. Kwa anayejua chanzo cha tatizo na makadario ya gharama za matengenezo msaada tafadhali...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana JF
Napenda kujua kuhusu matumizi ya gesi katika magari badala ya petrol.
1. Ni kifaa gani kinahitajika kubadili mfumo kutoka petroli na kutumia gesi?
2. Je, ukifunga kifaa hicho unaweza...
Wadau poleni na majukumu, ombi language ni kupata application time watcher kwa ajili ya kutumia kwenye Internat cafe
Please naombani msaada wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za mwamko wakuu humu ndani, nabandika uzi huu ili tulijadili kwa pamoja swala hili.
Binafsi Nina roho ya huruma pale mtu unakuja na shida serious unataka kuzima pesa. Nitolee mfano mzuri...
Je, iPhone ni simu zisizoweza kudukuliwa? Wengi wamekuwa wakiamini hivyo ila kutana na programu ya Karma, programu hii inasemekana inazama ndani ya simu za iPhone kwa urahisi sana.
Skendo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.