Jana wakati natafuta tafuta games kwenye PC nikakutana na uzi wa the great wizard, kushusha games kupitia oceanic games.
Nikaingia nikashusha games kadhaa ikiwemo Assasin creed.
Ila sasa baada...
Hua napiga picha ndio ajira yangu Mpya naomba mwenyewe ujuzi anaitajie application nzuri niwe na edit picha za wateja Asante nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mi napiga telecomm engineering nimekuwa najiulizaga kuhusu MSAN zinazofungwa pembezoni mwa barabara zina kazi gani kwenye mawasillano mwenye ufahamu wa hiki kitu tusaidiane
Sent using Jamii...
Msaada kwenye tuta nina simu 5 zimekufa software za huawei na Tecno n8 nimedownload new firm imejaribu kuinstall na usb via SP tools bado zinagoma naombeni ujanja mwingine wanajukwaa
Wadau naomba kujua kama powerpoint ina uwezo wa kutengeneza tangazo linalotembea kutoka kulia kwenda kushoto kwa kutumia powerpoint, kama inawezekana naomba msaada wa maelekezo, natanguliza...
Kwa wale watumiaji wa Nokia Android phones, hii hapa plan ya kupata updates za Android Pie (9).
Kama upo kwenye list ya below 29th Jan... Kindly check you updates and update...
Habari wakuu..
Naomba msaada kwa anayejua namna ya Ku unlock Vodafone 301 ili iweze kutumia line zote.
Hii simu ni ya line mbili lakini cha ajabu sehemu zote za line zinataka line ya voda tu...
Tatzo: Nina POS system nataka ku fanya iwe na uwezo wa kuprint receipt za TRA .. how can i achieve this? Program ime andikwa kwa java..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jaman naombeni msaada kwa wale watalam wa computers !
Nifanyeje Laptop yangu battery yake iweze kukaa miaka mingi bila kupungua uwezo wa kutunza moto ?
Habari wana JF, Najua wote hamjambo na mmeamka salama, kwa wale wagonjwa au wenye matatizo ya kimaisha tunapenda kutoa pole zetu za dhati na kuwaombea mwenyezi Mungu awape wepesi.
Baada ya kusema...
Kuna mtu anahangaika kukonnect Simu yake isomane na Samsung tablet ili asomee internet kwenye tablet Simu ya Techno F2 haitaki kusomana afanyaje? Kwenye komputa Simu na komputa zinasomana na...
Wakuu km kichwa kinavyojieleza hpo juu nimesahau password ya kwenye laptop yangu inayotumia window 10 kwa yoyote mwenye idea pliiz anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.