Polen kwa majukumu mabibi na mabwana.
Sina nia ya kupoteza muda kuhhusu uzi huu ila naomba tu wataalamu wa computer wanisaidue kunielekeza aina ya komputer na specification zake, ambayo...
Habari!napenda wasilisha ecommerce nimefungua hivi karibuni ningependa pata ushauri kwasasa nafanya delivery door to door kwa dar es salaam but mkoani na delivery japo sio door to door na payment...
Habari wadau naomba msaada nina simu ya TECNO -J8 inagoma kusoma WhatsApp kws kutumia "Cellular data" ila nikitumia Wi-Fi inakubali, tatizo nn na nifanyeje ili niweze tumia Cellular data.
Android...
Ukiclick link hii utaona namba za simu za marafiki zako wote waliopo facebook.
Tena na siku hizi facebook inamkumbusha kila mtu aingize namba yake.
Login | Facebook
Hello members! I have a problem when flashing dead phone (lex526) using QIFL tool.I got error sms "firehorse fail" anyone who could help?,am using Windows 7
Sent using Jamii Forums mobile app
wanandugu kutokana na maendeleo ya teknolojia kwa sasa, nahitaji kununua pc yenye specs kubwa. Hivyo naomba mnipe ushauri ni pc gani kwa sasa zenye uwezo na thamani yake.... Naomba kuwasilisha...
Habari wakuu
Kwa bahati mbaya mtoto amefuta picha zilizopo kwenye simu aina ya androud version 4.0.4 na ninazihitaji sana,sijui nitumie App gani kuzirecover hizo picha,msaada tafadhali.
Wadau,
Habari za humu ndani?
Ni maranyingine tena nimeona vyema nipate uzoefu wenu, ili nipunguze ujinga.
Huwa najiuliza swali hili ila sijawahi kupata majibu;
Hivi, Meli inayosafiri masafa...
Kutokana na Kukua kwa Sayansi na Teknolojia nataka nijue kwa miaka inayokuja kama kuna uwezekano wa kuwa na Uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa nchi kwa kupitia mtandaoni(online). Yani hapa mtu...
Habari zenu wadau wa Technology...
Naomba msaada nimewipe systeam partition kwa bahati mbaya wakati nainstall custom rom (lineage)..
Nikijaribu kureboot syatem au recovery naambiwa "OS not...
Habari Wakuu?
Kila nikisoma forums mbalimbali jinsi ya ku-root android phone, naona ni lazima uwe na PC itakayo kusaidia katika mission yako.
Ina maana huwezi ku-root without PC? yaani hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.