Habar wanajf naomba mwenye kujua kiundani kuhusu hio processor kua iko vizuri kwa upande wa speed? Na pia hizo herufi QM zinamaanisha nini?
Ahsanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhalini jamani anko magu karibu atanilipa hela yangu ya korosho, ili kujipooza na machungu nafikiria kununua TV.
Sasa basi nahitaji ushauri wenu ipi TV ambayo nitafaidi quality yake hasa...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Naomben msaada jinsi ya kudownload nyimbo katika website hii www.muziki.net kuna nyimbo nzuri hasa old bongo fleva.
Tatizo linakuja pale napotaka ku...
Habari za mihangaiko ndugu yangu
Nimekuja kwenu naombeni maelekezo yenu kwa kwenye ufahamu
Mimi Nina blog lakini inatumia domain name ya WordPress, shida yangu kubwa ninaombeni mnielekeze namna...
Habari wadau!
Nikiwa ofisini kwangu amekuja mteja lakini alikuwa anamajonzi sana, ikabidi nimuulize kulikoni?
Akasema mnamo siku ya ijumaa alikuwa na milioni moja na laki tatu kwenye simu...
Habari zenu wandugu,Mimi sijui chochote kuhusu maswala ya website Ila nina wazo la miaka mingi la kuendesha web ya kibiashara kama vile ya kukutanisha wauzaji Na wanunuzi mtandaoni ,(mfano mzuri...
Mapema hivi leo instagram ilipata hitilafu ,Tatizo limetatuliwa kwa mujibu wa uongozi wa mtandao huo Maeneo yaliyoathirika ni uingereza ,ulaya na Marekani.
>>>>> INSTAGRAM IMEPATA HITILAFU LEO...
Matumuzi ya KASI ya internet yamefika kikomo endelea kufurahia matumizi ya kawaida. huu ujumbe huwa unanikasirisha sana. Mwenye utaalamu anifahamishe jinsi ya kuondoa huo ukomo wa kasi, internet...
Habari za mda huu wakuu
Me na shida kidogo
Nimenunua parcel eBay na nataka ni ship kwa kutumia dhl
Parcel inatoka Us but sijaona address za dhl ambazo nitampa muuzaji ili mzigo upelekwe pale...
Jana nilikuwa naangalia mechi kati MAN UTD na MAN CITY kwenye 3D TV CHANNEL, kwa kweli nilichokiona hakikunishawishi kununua 3D TV once zikianza kuuzwa madukani.
Sikuona tofauti kubwa sana na...
Hawa majamaa wa startimes ni wababaishaji kweli, yaan simu kwa huduma kwa wateja nmepiga hadi nmechoka lkn hawapokei. Nkilipia kifurushii baada ya wiki1 na nusu kinakata na sio kwamba nalipa nusu...
Habari wadau simu yangu ni Samsung galaxy tab 4 inazima inakuwa ina re boot na kuzima tena hadi naomva ushauri mafundi wameshanilia pesa nikiondoka tatizo linarudi palepale......
Natanguliza salamu
Naombe kujua jinsi ya kupiga window mpya kweny PC bila kutumia CD na pia ku update au ku upgrades piah kubadilisha mfano kutoka window 8 kwend 10
Asanten
Avira Antivirus Security is a high security application that protects your phone and tablet. More than just an antivirus program and a malware / spyware cleaner, the application provides...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.