Habari wadau,kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu hilo jambo hua silielewi kiundani wale wenye utaalamu huo mtueleze ili tufaidi elimu hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamiliki na waendeshaji wa Mtandao wa WhatsApp wanafikiria kuwapunguzia Wateja wake uwezo wa kutuma ujumbe mmoja mara nyingi(forward)
Uamuzi huu unachukuliwa kwa lengo la kudhibiti usambazaji wa...
Ndugu wadau poleni kwa majukumu ya siku nzima ya Leo,sasa wakuu nimepata hili tatizo la simu yangu kugoma kuzi update na ku download apps mpya,hili tatizo nimekumbana nalo Jana.kwahiyo Wakuu najua...
Sio kitu kipya wote tumeshawahi fanya, kwa bahati mbaya tulishawahi kufuta taarifa zetu kama vile picha au hata video. Kama ikitokea hivyo tena usikasirike, TeknoKona inakuletea njia.
Sawa kama...
Toka nihitimu shahada ya elimu sioni la maana hafadhali kwa Sasa nijifunze kutengeneza simu najua nitapata pesa.
Wakuu mdau utaeguswa na hisia zangu naomba unisaidie wapi ama hatua zipi naweza...
SIMU YA HAI ACCESS INTERNET KWENYE CM NYINGINE UKIUNGANISHA KUPITIA WIFI PIA ATA KWENYE COMPUTER MSAADA WA JF CJUI SHIDA NI NN NA MDA HUO NAKUAA KBS BA BANDO NA PIA KWENYE CM YNG INTERNET IKUWEPO...
naomba msamaha kwa hili ila jamani kuna simu yangu VODAFONE 685 hina kataa ku install app ya Instagramu na tatizo sio SPACE uki download hinaingia hadi 100% tatizo ku Install
Naombeni msaada...
Naomba kujua jinsi ya kutengeneza image au text ambayo baadae ukiiweka juu ya image au background yoyote itakua kama glass flani hivi yaana na kile kilichopo nyuma/background kiendelee kuonekana...
Among famous Arabic doctor belongs also Ibn Al-Haitam (known in the west as Alhazen) which is considered to be the greatest Muslim doctor and one of the greatest researches of optics for all...
Salaam wakuu.
Leo nimeona niwashirikishe jambo hili ambalo wengi huenda tumewahi kulisikia au mnaweza kuwa mashahid wazuri.
Umewahi kujiuliza Kwa nn Facebook , Instagram , WhatsApp Na baadhi ya...
Naomba kuelekezwa jinsi ya kupiga window, napata wateja wengi wakiamini naweza kufanya ila siwezi. Sina ujuzi na hii ishu, now nahitaji kubobea sana. nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua kuhusu tecno k7 nimeinunua lakini naona default apps nyingi hazipo.
file manager n.k na zile nyingine nyingi ambazo ukinunua tu simu unazikuta by default..nifanyaje?
Sent using...
Habar za muda wana wa JF!
Bila ya kupoteza muda niingie mojakwamoja kwenye mada kuu!,
Mwenye kujua tafadhali naomba anisaidie jinsi ya kum'blok mtu kwenye simu za androids,
Its almost 2yrs now...
Wataalamu naombeni msaada wa nini nifanye. Pikipiki yangu aina ya yamaha ag200 inatoa/ inamwaga oil kupitia kwenye air cleaner, na kila nikiweka oil yote inaisha muda mfupi baadaye kwani inatoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.