Nina simu yangu tecno W3 tatizo lake limeanza siku tatu zilizopita. Tatizo la kwanza ni mtu akinipigia simu inakata na inaonesha line busy,je shida inaweza kuwa ni nini?
Wakuu kwaninii whatsap iwe inatumiwa sana hali ya kuwa huwezi kuitumia moja kwa moja kwenye pc mpaka uwe an application nyingine au uwe na simu ya whatsap uscan code?
tofauti na telegram ambao...
Wakuu nimetoka kununua TV lakini kila nikiangalia sioni sehemu ya AC Wana technolojia msaada hapa.. Kama inavyoonesha kwenye picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau,
Nimeweka CCTV camera kwenye kibiashara changu lakini nakabiliwa na changamoto moja kubwa.Nahitaji kupata njia ya kitaalamu ya kuweza kufanya tathmini na kujua kinachoendela bila kukodelea...
Bee.G.E.K: Maji ya Mto hukabiliana na vikwazo mbalimbali lakini huwa haviuzuii maji kutiririka. Mto unapokutana na Miamba, hata siku moja hauwezi kujadiliana na miamba eti upiteje, bali...
Ngoja nikukumbushe Haswaa
Nyakati hiz za Technology zimeharibu mambo mengi sana Tanzania. Wanawake wenye akili wasio na elimu walizaa na kulea ma Professors. Nyakati hizi wanawake wasomi...
Msaada wadau natumia laptop yenye Windows 8.1 pro mwanzoni nilikua napata antvirus yenye serial keys ( AVG) ambayo Ilikua strong sana. Lakini hivi sasa wameficha keys zake hivyo napata ya mwezi...
Wapendwa Kama kichwa kinavyosema, mimi nahitaji kuwa na website ya Kanisa nasema mimi kwa vile nikiongozi, ni mambo gani niwe nayo ili kuweza kuwa na web? Je ni gharama kiasi gani kufungua, kifupi...
Huenda mambo yako hayajakwenda sawa kwa miezi nane iliyopita iwe kimahusiano au kiuchumi. Ila hilo lisikuumize na kukusononesha. Mungu anazo opportunity nyingine nyingi mbele yako kwa mwezi huu...
Haswa
Nyakati hiz Technology zimeharibu mambo mengi sana Tanzania. Wanawake wenye akili wasio na elimu walizaa na kulea ma Professors. Nyakati hizi wanawake wasomi wanashindwa kuzalisha vizazi...
*DISCOUNT KAMA LOOTE YANI*
Domain name za .com zipo kwa Tsh 15000/- tu mwaka mzimaa [emoji857][emoji857]
Njoo na email yako ili upate credentials zotee za domain [emoji12]
*_Ni Limited offer...
Ile button ya kuwashia inawaka na kuzima,pia computer yenyewe inatao muungurumo mkubwa Kama gari yenye mzigo inavyopata shida kupanda mlimani, msaada waungwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidieni laptop yangu dell nashida! Haiwaki kabisa! Ilianza hivi, Hii laptop betri ilikufa kitambo nkawa naitumia direct kwenye umeme bado ikafanya kazi kwa miez kadhaa baada ya hapo ikashndwa...
Wakuu habarini za majukumu.
Naombeni kujulishwa Vyuo vinavyofundisha Masomo ya Teknolojia Kwa njia ya mtandao, gharama ziwe affordable kwa life yetu hii, lakini pia ni kozi ipi itanifaa zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.