Habar wakuu
Samahani naomba kujua fursa za kazi za kimtandao( Online jobs) mwenye ideas na mzoefu wa fursa hizi tufundishane ili tupeane ajira! Mm niko interested Sana na hizo $ mtandaoni ila...
Habari wanajf naomba mnisaidie jinsi ya kuona text na calls,nahitaji kujua kama mpenzi wangu ananicheat au hanicheat,samahani naomba mnisaidie ndugu zangu.
Wakuu poleni kwa majukumubya kuijenga Nchi yetu changa,naomba kujuzwa aina gani ya Apps nzuri ya kuchunguza kinachoendelea katika simu ya kijana wangu,mahitaji yake ya Chuo siku hizi yameongezeka...
nokia jana wametoa version za nyongeza mbili kwa kitochi kipya. inamaana kitochi kipya kitakua na version 3. nokia 105, 106 na nokia 107.
so kipi cha muhimu?
simu zote zinafanana kila kitu...
Habari wakuu? Simu yangu inavirus wengi nataka kuifanyia factory reset Ila nakumbuka Mara ya mwisho ililetea option ya kutumia WiFi ndoinakubali mpk nikataguta kwenye WiFi ndo nikafanikiwa .Kwa...
Habari ya leo wakuu! Kutokana na shughuli zangu nahitaji mtandao wa intaneti ya uhakika pia kwa kasi kubwa. Nipo Geita mjini pia ninatumia mtandao wa Halotel kwenye 3g Huawei wifi router yangu...
Kwa yyte mwenye pc yenye specification zufyatazo
RAM 4GB
HDD 500GB
PROCESOR 2.3+
KUBWA KIAS
HP,ACER,DELL AU TOSHIBA
isiwe nene sawa iwe nyembamba kias
Weka picha tufanye biashara
Sent using...
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha nne, kuna project nataka nifanye ila sijui wap pa kupata microcontroller na gsm control
Naombeni msaada wenu
0687311340
N.B naombe wale wa kuanza na maneno ya dhiaka kuwa tecno sio simu wapite kushoto.
Natumia tecno w4 imenizimikia ghafla na nikiiweka kweny chaji inawaka tu kitaa chekundu ila haioneshi kama...
Nina note 8 i
Yakwangu ime krack kioo,gharama za matengenezo ya display nimeambiwa ni laki saba.
Nafikiria kuuza utumbo wa hiyo simu yaani mashine shida imekaa muda mrefu parten yake...
Wakuu ninamiliki tablet ya Vodacom kwa kipind kisichozid miez kumi, sasa imeanza tatizo la kugoma kupiga simu azitoki lakin nikipigiwa zinaingia vizuri tu na Huduma zingine inafanya kama kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.