Za jioni wadau,
Poleni na mihangaiko ya leo. Ni sehemu ya maisha...
Nimekuwa nikiwaza - wenzetu Rwanda na Kenya washazindua second level domain kwa ajili ya kuandikisha tofuti zao. Kwa mfano...
Ndugu mwenye kufaham jinsi ya kupata program za kutengenezea 3D picture za computer na za adroid naomba maelekezo
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naombeni msaada wa kiufundi au hata ushauri
Desktop yangu ana ya dell haisupport usb yoyote hivyo haikubali mouse wa keyboard sijajua nafanyaje maana nilipeleka kwa fundi kuwekea Ram sasa...
Mwlm Rtc nawengineo, HV nikwann unapoangalia TV ukiwa karibu zaidi rangi inakua mbaya? Tena unakuta afadhali Tena ya chogo! nawasilisha. msaada tafadhali.... nmeangalia TV nyingi sana
Na site yangu ya kuuza na kununua inamuonekano huu kwa mbele
sasa nataka niziondoehizi categories zinazoonekana hapa mbele sababu tayari zipo zinaonekana hata kwenye menu icon mtu akiclick
pia...
Kuna playstation 3 nauza kwa bei chee ya 250000 nicheki pm ipo Arusha nakupa na pad zake mbili na game kama fifa 2019, pes 2019, pamoja na mission games kibao
Wanajf nadhani nyie ni wazima tena sana heri ya mwaka.
Sasa mimi naomba ushauri wenu nina website ila naitangeneza so sijui jinsi yakutengeneza zile emails zake mf.
Info@tecnoimages.com
Sales @...
habari za mihangaiko wakuu??? naombeni msaada wa kuna namba inasumbua sana mpaka naona kero nahitaji kwa anae fahamu namna ya kuifunga isinisue nifanye vipi ili kuizuia, au ni namba zipi...
Hii ofa imekaa kii ndezi sana eti mb 500 afu ni bola wangefanya Mb 500 bila kuzigawa, kwasababu hapo hakuna tofauti na kile kifurushi ya siku wanacho kupa Mb 300
Note; hii menu *148*55# ni...
REDIO YA KIDIGITALI
Waungwana naamini hamjambo.
Ni miaka 7 sasa tangu tubadili TV za analog na kuingia kwenye TV za digital. Yaliyojitokeza tutakuwa tunayakumbuka ambapo mengine yamekuwa na tija...
Jamani wana JF nina tatizo langu ambalo nimejaribu ku-google nikashindwa kuelewa namna gani naweza kufanya.
Naombeni msaada wenu kwa yeyote yule ambaye anafahamu ni njia gani ambayo naweza...
Habari wana jamvi. Swali langu naulizia kama kuna kampuni za kitanzania ambazo ni za kuaminika. Wanaweza kutengeneza software mfano apps na sysytem za kulink mteja na mtoa huduma.
Nataka...
Wana JF naombeni Msaada wenu VPN kwenye maswala ya internet ina kazi gani?
Kwa upande Wangu nilikuwa nataka kujisecurity yani napokuwa nafungua website yeyote kwa kutumia smart phone Yangu...
Hello technologist, I would like to hear technically from you, how is goverment could be able to shutdown imternet acces? tumesikia kuwa DRC congo has shutdown internet acces to their country to...
Hizi laptops kwenye maduka mengi ya hapa town huwaga na bei ndogo sana ukilinganisha na bei za online stores za kidunia kitu ambacho kinaumiza kichwa sana.
Kwa mfano laptop kama HP yenye...
Nimepoteza kitambulisho changu cha kura
Nahitaji Sana kupata namba zake za kitambulisho Maana niza mhimu Sana kwangu
Kwa anaejua hilo Naomba anisaidie
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii...
UTORRENT TURBO BOOSTER 4.0.5.0 FULL VERSION FREE DOWNLOAD
This tool comes equipped with modern technology that aims at getting your download speed way up so you can grab the files you want so...
Hello technologist, I would like to hear technically from you, how is goverment could be able to shutdown imternet acces? tumesikia kuwa DRC congo has shutdown internet acces to their country to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.