Habarini
nina simu aina Ya Microsoft Lumia 640 xl dual sim
ina window 10, Ram gb 1 na 8Gb space yake, kwa mwenye interest nayo anaweza nicheki nikamuuzia ama tukabadilishana nahitaji simu ya...
Jamani Wana JF naomba msaada wa kupata softwares za Adobe kama nne hivi, Primeere Pro, Illustrator, After Effects.
For free, Maana kuna ambazo nilizipataga kwa mdau zikawa zinataka licence key So...
Wandugu habari za mda huu?
Kama kichwa cha habari kilivyo,naomba iwapo kuna mtaalam wa ku UNLOCK Modem ani pm tuongee biashara.
Nina MODEM yangu aina ya Huawei na ni ya Zantel nataka ni UNLOCK...
Habari Wana jf, nauliza ikiwa inawezekana kutumia flash Kwenye king'amuzi badala ya deki. Na kama ni ndiyo ntafanyaje, natumia Starting
Msaada pliz
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Kwema?
Habari za Weekend?
Ninahitaji Software ya Kuandika na Ku-Print Hundi (Cheques). Nimejaribu ku design from MS Excel na MS Word lakin naona kama haitotoka kama navyotaka. Ningepata...
Nahangaika kutafuta smartphone nzuri kwa ajili ya matumizi kadha wa kadha.
Napata pm nyingi za wauza tecno na Infinix. Sipo tayari nipoteze hela yangu (japo ni kidogo ) kanunua tecno au Infinix...
Wakuu Mambo vp?
Kwanza kabisa heri ya mwaka mpya!!
Kabla ya kwenda kula bata naomba tuelekezane hapa namna ya kufanya apps zote ziwe katika dark mode, naamini kuna wataalamu hapa wa kutosha...
Habari humu!! Hi post pia nitaiweka na kule kwenye jukwaa la elimu sababu pia inahusu masula ya elimu.
Ningependa kuanza moja kwa moja kwamba nimetengeneza app hii kwa ajil ya kumsaidia...
Habari za muda huu wakuu
Nina shida nahitaji msaada wenu. Siku ya jana nilipitia pitia kupatana nikakutana na simu ya iphone 5s, nikaipenda but sina idea sana na iphone.
Basi nikaonana na...
Wakuu ongereni kwa kufika 2019
Aisee natafuta huu mzigo kwa ajiri ya vijana wangu wa kazi tujiandae na kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaaa. Uko Dar ntaupata wapi na bei yake ikoje?
Thanks...
Happy new year wapendwa wa JF natumai wote tunafurahia kuupokea mwaka
Naomba kufahamu ni program gani nzuri ya computer ambayo unaweza kuedit picha nzuri ikiwa na autofocus ya ukweli
Maoni yenu...
Habari wanajamvi!
Natumia simu aina ya Tecno Spark K7, kwa siku kadhaa nimeshindwa kutumia app ya Facebook kwa sababu inanipa pop up notification kwamba kuna matatizo ya mtandao kwenye simu yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.