Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari ndugu zangu wana JF baada ya kuwapatia salamu za heri kwenu naomba niendelee na kile nlichokianzisha elimu kuhusu CCTV. Aidha kwenye topic iliyopita tuliweza kujifunza habari kidogo kuhusu...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
When trying to open .exe files, nothing happens, even when "Run as Administrator" is chosen. Hi All, So like the title says, I am using win8, my laptop is i5 under 1 year old, my antivirus is...
0 Reactions
1 Replies
674 Views
Kwakazi safi na nzuri za Aluminium, Madirisha, milango makabati pamoja Patition ni check kwa namba 0652456206 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Ni kifaa gani ambacho ni very useful na kina provide good network kwenye different devices kama (Android phones, tablets and desktops Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Je wewe unapenda kufanya digital printing? Printer aina ya konica minolta ndio zinatumika kurahisisha kazi yako printing. Sisi ni wataalamu wabobezi wa hizi printing machines pamoja na Ysoft na...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari za mwaka Mpya wakuu, naomba kujuzwa tofauti za hard disk hizi tafadhali. Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MSAADA FILE AU LINK YA KUPATA FIRMWARE YA SIMU TECNO SA1 Pro,Online RAR files zake nyingi nikipakua ziko encrypted Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Habarini za jion humu ndani.Mimi ni app developer based on android,nina apps zangu kadhaa nimelink na adsense ili kunipatia kipato nashukuru Mungu zimefika dollar kadhaa na google wameshanitumia...
1 Reactions
1 Replies
299 Views
Heshima yenu wakuu. Ni muda sasa nimekuwa natumia flash drive kama external storage kwenye simu(android) kwa kutumia OTG. Tatini ni kwamba huwa inatokea inaji'unmount yenyewe mara kwa mara mwanzo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views

823 Views

884 Views

501 Views
Jamani nimehangaika sn kupata hili game. Naomba mwenye kupata maana huwa napata trial tu Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Nna Galaxy note8 ambayo naitumia tangu mwaka 2017 mwezi wa kumi na moja. Ni water resistant, hivyo uwa kuna siku napiga picha nikiwa ndani ya maji na haijawahi nisumbua. Wiki iliyopita nimeingia...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nna Galaxy note8 ambayo naitumia tangu mwaka 2017 mwezi wa kumi na moja. Ni water resistant, hivyo uwa kuna siku napiga picha nikiwa ndani ya maji na haijawahi nisumbua. Wiki iliyopita nimeingia...
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Tatizo hua nasikiliza mziki kwenye saboofer nachomeka waya sasa imekata sauti kwenye simu. Naomba msaada nifanyeje? simu haitoi sauti tena
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanabodi Poleni na majukumu. Naomba tubadilishane uzoefu juu ya jambo hili. Tumejenga msongo mkubwa wa kipande cha kilometa 8.5 kwa volti ya 33000volti, umeme wa njia tatu kwa ajili ya...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
JINSI YA KUFAHAMU KAMA ACCOUNT YAKO YA FACEBOOK INADUKULIWA. Njia hii haitakupatia jina la mdukuaji, bali kutambua kama unadukuliwa kulingana na aina ya simu au kifaa unachotumia kuperuzi...
8 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba msaada wenu wajuzi nina simu ya Nokia Lumia 1020 hapa juzi ilianza tatizo la kuonyesha space imejaa nimpelekea jamaa aka fanya backup ya files zangu na kurestart na kui update to window 10...
2 Reactions
3 Replies
816 Views
Habari zenu.je kuna njia ya kupata taarifa za sms ya namba za mtu kutoka kwenye makampuni ya simu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom