jamani wana jf naomba msaada simu yangu tecno f2 inaniletea mapichapicha
mara SYSYEM UI ISN'T RESPOND, mara app ianze moja moja kustop
msaada jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu ninaomba msaada wa kurejesha picha nilizohamishia kwenye pc kwa cut and paste mana kwenye pc zinakuja na size ya 6gb halafu ukifungua zina goma kuview, any tools guys that is helpfull to...
Habarini Wakuu!
Msaada kama Kuna Application yeyote ya Kupakua (Download) Movie. Binafsi kama wengi walivyo na Ugonjwa wa Kupenda Soka namimi Movie ndiyo Ugonjwa wangu!
Hizi njia zingine...
Mwaka 2016 TV yangu iliungua baada ya radi kupiga shot toka kwenye Decoder ( nadhani ilianzia kwenye dish ikaletwa kwenye decoder hadi kwenye TV. Nlipopeleka kwa fundi akanambia TV Card imeungua...
Habari za mda huu wakuu
Me na shida kidogo
Nimenunua parcel eBay na nataka ni ship kwa kutumia dhl
Parcel inatoka Us but sijaona address za dhl ambazo nitampa muuzaji ili mzigo upelekwe pale...
Hello ndugu zangu habari! !
naomba msaada wa kujulishwa jinsi ya kuset laptop yangu nikichomeka headphone sauti ibaki kwenye headphone peke yake sababu sasaivi nikichomeka sauti inakuwepo pande...
Ndugu habari za mwisho wa mwaka.
Nimetumia doc(picha) kwenye whatsap nikmthibitishia aliyetuma kuwa nimezipata,lakini nilikuwa bize na majukumu kwa kipindi hicho.Leo nimejaribu kuzifungua...
habari wakuu wa jukwaa hili nimekuwa nikifuatilia uzi nyingi kuhusu adsense leo nimefanikiwa kuweka adesense kwenye blog ya kiswahili kutokana na muongozo wenu japo sina uhakika kama adsense hii...
kumekua na aina mbali mbali za chipset katika simu ningependa kujua zipi nzuri.
mfano nazozitambua ni adreno cortex, snapdragon, media tech.
ningependa kufahamu zaid.
kwa uezoef wangu snapdragon...
Wakuu natumia window 10 na Ubuntu kwa pamoja,, window inatoa sauti nikiplay audio or video lakini Ubuntu haina sauti kabisa..tatizo nini...msaada wana jamvi
Nauza Laptop Yangu Hiyo Nikiyokuwa Naitumia Kwenye Kazi Za Ufundi Laptop Na Simu.
Kwa Wale Wanaotaka Kujifunza Au Kuendeleza Ufundi Hii Itakufaa, Mimi Niliitumia Chuo Na Nilikuwa Nawapiga Piga...
Mambo yamekuwa mambo, google wamekuja na kizuizi kipya kinchofanya AdSense iwe sio ya mchezo mchezo.
Kuna wale ambao hawanaga AdSense na wana shida nazo na kuna kwenye account za AdSense ambazo...
Habari zenu ndugu zangu? , nadhani kichwa chajieleza,
Naombenj kjjulishwa Kamojni nzuri ya ku host website yangu, we na bei nzuri,
Asante,
Domain ninayo tayari, nachotaka ni kuhama tu,
Asbui adi mida ya Jioni mnakuwa vzr sana ktk internet ikisha fika night mnayumba kama dela . yaani hamna kitu mtandao unakuwa chini sana hata kufungua jamiiforum nikwambinde sana. Naupenda sn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.