Habar wana jf pc yangu vent zake za kupumulia ziko kwa chin kidgo kias kwamba inapelekea sometime ina over heat then inazima ukiwasha inaandika kua ilizima ku-avoid over heat nilikua nauliza...
Wakuu habari zenu. Heri ya sikukuu na poleni na majukumu ya kila uchao. Matumaini yangu mu wazima wa afya pamoja na familia zenu.
Msaada wenu tafadhali ili nami sikukuu yangu iende mswano...
Imani yangu ni kuwa humu huwa sikosi majibu fasaha. Mimi si mzoefu wa tech devices. Nimengojea sana azam wafufuke imeshindikana. Nisingependa kununua tena kingamuzi kingine. Naomba anayejua hii...
Wakuu, kheri ya Xmass na mwaka mpya, Niende kwenye maada ni kwamba nina kompyuta ya lenovo kila nikiunganisha Wi-fi hotspot ya simu inaconnect vizuri ila tatizo nikiingia youtube inaplay kama...
Natumia ucbrowser kufungua Jf ,hivi kunauwezekano wa kuhamisha taarifa zangu zote kwa kutumia chrome huku nikiwa nimesahau password,yaani bila kujisajili tena?Naomba mwongozo
Wadau nina TV aina ya TCL ambayo ina channels za ndani kwa ndani kama hizi FTA channels za hapa kwetu, Emmanuel TV, Citizen, BBC World, KTN, Hope Channel, Aljazeera, Uhai TV n.k. na pia radio...
Wakuu mimi nataka kuanza kupiga picha kwa level ya chini, yaani mpiga picha wa kawaida tu na nina budget ya Tshs 800,000 sasa naomba kujua mambo mbalimbali kuhusu camera na kupiga picha.
1. Kwa...
Habari zenu wana JF?Naombeni mnisaidie juu ya namna gani ya solve hili tatizo la laptop keyboard kuto kutype while kwenye kuingiza password inakubali ,Laptop ni aina ya Latitude 6500model
Ndugu kuna ubishi umetokea mtaan kwamba simu aina ya tecno ni fake ,wengine wakidai ni orignal .hapakuwa na evidence yoyote ya kuweza kuproove zaidi ya kuangalia IMEI bhasi.wanajamvi kwa mwenye...
Habari ya mda huu wanajanvi, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza apo juu ,naitaji msaada wa kufahamu application nazoweza kupakua series zilizo tafsiriwa kiswahili.
Wakuu kama mnavyojua hzi simu zetu nyingi za sasa (Smartphone) , huwa mtumiaji hawezi kusikiliza FM radio pasi kuwa na earphone/headphone..
So, naomba kufahamishwa hapa.. Ni App gani/zipi za...
Brand nyingi zinazotumia mfumo endeshi wa Android hazina tofauti sana, zaidi ya mabadiliko (updates) kwenye hardware, mimi natumia Samsung Galaxy S2 ni toleo la 2011 miaka 7 nyuma, lakini nimeweza...
Movies za wana ICT
Ingawa wengi wetu wamekuwa wakifikiria sisi wana ICT tunaongoza kwa ubusy na hatuna muda wa kufuatilia mambo mengine,ukweli ni kuwa hilo sio kweli.Kuna wakati tunakuwa na muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.