Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hope mko poa Naombeni mnijuze software nzuri ya kukata audio... Kama ilivo adobe premiere kwenye video asanteni.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
632 Views
Mtu ambaye anajua Tecno wanabadilisha Tecno cx kwa c11 + shilingi ngapi..?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hi! JF Napenda ushari wenu wana JF nime plan kusoma course ya computer engineering soft ware.nikaona ni vyema sana nipate udhauri wenu hum maana kuna watu wapo humu walio soma hii course Je kwa...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Samsung hawatanii bhana wako seriously na biashara.. wamekuja na hiki chombo kutuliza mbwembwe za iPhone na matoleo yake mapya yaliotikisa soko la simu barani Ulaya, Asia na soko Zima la America...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu, Kwanza nikiri tu kuwa si mzoefu hata kidogo wa simu za Samsung. Nimekuwa natumia Tecno tu tangu mwaka 2012, kila toleo nanunua na kwa hiyo ninao uzoefu ktk kutumia smartphone za Tecno. Hadi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nina Iphone 6S GB-16 pia nina Iphone 4S 32 GB Je naweza kutoa memory card na kuiweka kwenye Iphone 6s na ikafanya kazi??Wataalam naomba ufafanuzi!! Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Wakuu salama, Nahitaji whatsup apps zaidi ya moja kwnye simu yangu. Yaani hii official whatsup na either business or gb whatsup. Naomba maujanja yenu wadau nafanyaje kwa simu yangu hii iPhone 6s...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wataalamu habarini. Mimi ni mwalimu naomba msaada Wa kupata ramani ya Africa mashariki ili nikatumie katika kuandaa mtihani. Yaani kale karamani nikikapata naweza kukapanua na kujaza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni graduate wa BIT(Bachelor in Information Technology). Nahitaji kujiendeleza ili niwe valuable sasa au hata apo badae. Na acknowledge uwepo wa professionals humu ndani na pia wenye...
0 Reactions
3 Replies
606 Views
Habari wakuu. Naomba kupewa elimu kuhusu youtube channel, namna inavyolipa, na nini kinatakiwa ili kutimiza vigezo vya kulipwa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salam wakuu, Straight to the point,naomba msaada kwa wataalam wa Sound engineering na production, Niko maeneo ya bunazi mkoa wa kagera na baada ya utafiti wa kina nikagndua kwamba kuna changamoto...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Mimi ni mtumiaji wa simu na mpenzi wa simu za samsung s series au note series. Kuna hizi simu za tecno, naona watu wengi wanazo na wanatumia kuwasiliana, ila kama unavyojua hizi digital devices...
9 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari za muda huu wanajukwaa, poleni na shughuli za ujenzi wa taifa. Ni takribani miezi miwili sasa tangu nipatwe na msiba wa mzee wangu kipenzi, lakini siku chache kabla ya kifo chake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu.Kama kichwa kinavyojieleza Nina simu yangu aina ya freetel prior4 tangu ninunue haijamaliza mwaka na warrant yake ninayo tatizo nikiplay video kwa muda mrefu inaanza kuleta...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wadau, kama nilivyoeleza hapo juu nampango wa kununua kisimbuzi sasa naomba anaejua kipi kina himili mazingira nilioeleza hapo juu msaada wadau.
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Juzi ni nunua simu kwa mtu tecno K7 ilikuwa haina tatizo lolote hata nilivyoweka fingerprint ilikubali tu tatizo jana nikarestore yaani nikafuta kila kitu ili niaanze na upya tatzo lilokuja kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari waungwana,ninaomba msaada wa satalite frequencies na symbol rate za Mlimani tv na Tumaini tv,kama kuna mtu anazijua anisaidie!,natanguliza shukrani!
0 Reactions
3 Replies
6K Views
wakuu naomba msaada,nina laptop aina ya DELL Latitude e6400,kuna wakati inaonyesha vizuri ila kuna wakati mwanga unakuwa hafifu sana hata ni ngumu kuona kitu. Msaada tafadhali
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu salamu! Tafadhari naomba kusaidiwa jinsi ya kuanza kuitumia software ya Quick net ya modem ya STC. Mimi binafsi nimeweka hiyo software kwenye PC, tatizo ni kwamba nikichomeka modem hiyo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada Tatizo: Not registered on network Simu: S6 Edge Imei za simu ninazo. Screenshot ya Tatizo hii hapa
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Back
Top Bottom