Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu habarini za mchana, moja kwa moja kwenye shida yangu, juzi niliweka simu yangu mfukoni nikakuta imejibonyeza bonyeza na hasa kwenye WhatsApp, sasa shida ni moja tu imestak yani nikiwasha...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari ndugu zanguni. Nina printer tajwa hapo,touchscreen. Inaandika error 49.38.07 Device error. Kama kuna mtu anaeelewa naomba anisaidie kusolve
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Naomba msaada, kuna simu nimeletewa ikiwashwa inaonesha hivi... Nimejaribu kufanya hard reset, ila bado iko hvo hvo, nifanyaje ?
0 Reactions
2 Replies
952 Views
habari zenu wanajamii! Naamini mko poa! Wote jamani ninashida moja jinsi ya ku record screen kwa kutumia simu ya tecno spark k7 anaeweza naomba anisaidie maana nime donload screen record zote...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Google hawajasema chochote kuhusu secret question/answer kwenye requirements za kuchukua hela, wanasema uwe na ID na ile namba ya transaction ya Western Union, ila bongo bila secret...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
INAUZWA Meizu mx4 pro Display 5'5 | fingerprint scaner Storege 16 | ram 3gb Camera 20.7Mp with Selfie 5Mp l Betri 3350mah glass protector + Back cover Una touch na groves(grove mode) Location |...
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Wakuu, nina pc ya Lenovo thinkpad x130e inasumbua kwenye keys hizo hapo juu katika keyboard yake. Wakati mwengine zina reapond au zinagoma. Je tatizo nini? Natumia wondows 7 ultimate, tatizo ni...
0 Reactions
3 Replies
832 Views
Habari ndugu zangu , naombeni msaada simu yangu CAMERA yake haipigi hata torch yake haifanyi kazi sijajuwa ina tatizo gani , naombeni msaa wenu.
0 Reactions
4 Replies
759 Views
Habari za muda huu na vp kuhusu pilikapilika za kuzikaribisha sikukuu za Christmas na mwaka mpya.. Issue iko hivi, Nina simu yangu hapa ambayo tatizo lake kubwa ni kushika moto mkali sana (yaan...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
GOOGLE ADSENSE NI NINI ? Ni mfumo wa Matangazo kwa njia ya mtandao unaihusisha matangazo kwenye kurasa za tovuti , programu , blogu , majukwaa na huduma zingine za mawasiliano haswa kwenye...
2 Reactions
15 Replies
8K Views
Tatizo hili linatokana na nini haswa maana nilikuwa nikiichaji inajaa vzr mpk 100% hata nikiwasha haishuki mpk nianze kuitumia ila kwa sasa imeanza kushuka na hata ikiwa na asilimia 20 nikazima...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari, Najua mpaka sasa kuna baadhi yetu hatujui ku save/download youtube video na kuiweka kwenye Gallery. Kama wewe ni muhanga wa hili chakufanya chagua njia mojawapo hapo chini utakayoona...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Hatimaye nimefanikiwa kui install OSX snow leopard 10.5.7 na 10.6.3 kwenye pc ya kawaida. niliamua kuchagua hizo version ingawa si latest sana kwasababu pc niliyojaribia ilikuwa na specification...
3 Reactions
149 Replies
25K Views
Habarini wandugu, Ninaomba kuelekezwa njia ya kufanya ili niweze kuona free channel bila kutumia kisambusi kupitia moja kwa moja kwenye tv. Nitashukuru sana.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau, watu wengi wanaonunua brand new computers uwa wanakuta imeku installed na cheapest windows 7 starter ambayo ina lack many features ahass upande wa multimedia. Sasa ngoja niwape siri moja...
3 Reactions
60 Replies
7K Views
habari wakuu Nahitaji kununua vifaa kwa ajili ya project :vifaa kama transistors,resistors ,capacitors rheostats na vingine kama opamps na IC's kwa anayejua duka lolote apa dar lenye hivi vifaa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wale wenzangu wenye interest na elimu ya maumbo ya angani (Astronomy) na elimu ya chanzo, mabadiliko na hatima ya ulimwengu (Cosmology) siku nyingi tumekua kimya humu jamvini. Ngoja leo niandike...
9 Reactions
18 Replies
7K Views
Habarini wana jamvi.. Nimekuja kwenu kuwaomba msaada kuhusiana na kampuni bora ya Tv. Nahtaji kununua inch 24.. je ni kampuni gani iko poa zaidi ukizingatia ubora wa picha. Kudumu kwa bidhaa n.k...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Tafadhali naomba msaada wa kupata fundi au mahali ntakapoweza kubadili kioo cha hisense tv 55'..nakaribisha ushauri Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Ivi kwa Tanzania [emoji1241] unaitoa vipi iPhone 6 icloud activation
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom