Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwaaujuzi wa utaalamu wa uzalishaji wa cement 32.5R na 42.5N. Karibu
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Jamani simu yangu techno imebadilika maandishi ..yaani umekuwa mwandiko ule wakuremba ..me imenishinda naombeni msaada wataalamu humu
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wadau?? PC yangu inasumbua internet nikiconnect kwa kutumia modem au simu, connection inakubali shida inakuja nikifungua hata Mozilla ili nisearch inaandika problem loading. Natatuaje hilo...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Una emergency yoyote na unahitaji pesa kwa haraka? Unahitaji mkopo? BRANCH ni Application iliyoanzishwa na Mzungu kutoka Marekani inayotoa mikopo direct kwenye simu yako. Unachohitaji ni...
5 Reactions
114 Replies
107K Views
wakuu habari zenu pc yangu inatatizo nikiwasha kidogo inawahi kupata moto na inachemka balaa naomba kujua ni tatizo gan hilo masaada wenu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari JF. Ni habari njema kwa watumiaji wa service ya TOVL kwa ajili ya kusoma vitabu online, na sasa wameamua kuachia toleo lao kwa watumiaji wa simu platform ya android . Ni jambo jema sasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama jinsi mnavyo fahamu simu original ni bei sana na wafanya biashara wanapo amua kufanya biashara wanaangalia ni wapi kwenye urahisi. Mm kama fundi nimeweza kugundua kwamba simu nyingi ambazo...
10 Reactions
47 Replies
9K Views
Wakuu simu yangu kila nikidownload App nikitaka kunitumia inaniambia ni allow storage permission nikienda setting kuallow inanigomea kama hivyo. Naombeni ushauri.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
salam zenu nyote.nna simu yangu ya samsung j2. inazima ghafla hata ina asilimia 50 za betri chaji. sasa anaejua tatizo anisaidie maana betri ina mwaka 1 na ipo safi tu kimwonekano. pia labda kama...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale watumiaji wa simu za Android nimewaletea Application bora zaidi ya kusikiliza radio Online inaitwa Online Radio, baadhi ya radio unazoweza kusikiliza live ni pamoja na hizi: Radio One...
3 Reactions
38 Replies
12K Views
Naona simu yangu inastuck kila muda nilidowload baadhi ya antivirus ila zilikua na ads kama zote pop-up kila muda na maapplication mengii MSAADA [emoji22][emoji22][emoji22]
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wanabodi? Tumai mu-wazima afya njema. Leo napenda kuuliza kuhusiana na gari Aina ya Tesla model 3. Je, tuna vituo vya kuchajia magari ya namna hii? Barabara zetu zinasapoti mfumo wa magari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba msada PC yangu aina ya HP elitebook inastack sana, nikiitumia ndani ya muda mfupi inastack kwa muda then inarudi kawaida baada ya dakika kadhaa inastack tena, kitendo hicho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye hiyo component tuwasiliane tafadhari
0 Reactions
1 Replies
480 Views
Hi all. I need your help. What is the tp for Tstveeez, dish size and is it c or ku? Does it face nilesat side or apstar 7 side
0 Reactions
2 Replies
510 Views
Naomba msaada wadau....... Nahitaji namna au app ya kutrack mawasiliano ya simu ya mke wangu..........
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimetumia kingo root app, nimefeli kuroot. Mwenye ujuzi anielekeze. Nimeambatanisha na picha jinsi nilivofeli kuiroot
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Habari zenu Wakuu, ni tumaini langu hamjambo. Napenda nijuzwe, yeyote anayefahamu njia za kudhibiti wizi wa mafuta kwenye magari makubwa, naomba anielekeze inavokuwa. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom