Kuna anaye jua option nzuri yakununua pc casing kwasababu shipping ni expensive kati cases zipo zinauzwa bei poa. Option kama easybuy, myus sema cheaper. China zipo cases nyingi nzuri sana sema...
wadau naomba kueleweshwa suala zima la oil....
mfano watumia gari dogo ist...unakuta unaaambiwa weka oil flan ya km 3000 mara mwingine oil hii kma 50000 mara ooo oil hii nyepesi sana si...
1. Jinsi ya kucheki IMEI(International Mobile Equipment Identity) feki za simu za kichina
Ujue IMEI namba ni muhimu sana kwa security ya simu yako pindi inapoibiwa. Sasa hapa bongo kunaa mobile...
natumia linux elimentary ila tatizo linakuja pale napotaka play game inashindikana na nimesha danload apps zote zinazo husika na kurun game
ila napo fungua option ya ku add non listed programe...
Nimekuja apa kushare nanyi maana wengi hawajajua vzr
1) Fungua google maps
2) Search sehem unayotaka kwenda
Apo utaona options za barabara nyingi tu
3) select unayotaka kupitia
Baada ya apo...
WAZO:
Tanzania Developer Forum
Nimekuwa na wazo la kutengeneza forum kwa ajili ya developer wa Tanzania, lengo la hii forum itakuwa ni kujifunza (learn) kufanya majadiliano (discussion) na...
Hello guys, Uhitaji wa internet unazidi kuwa mkubwa kadri siku zinavyosonga mbele, Kumekuwa na changamoto hivi karibuni ya kupata vifurushi vinavyokidhi thamani ya pesa (gharama nzuri + ubora wa...
habari wadau, naomba anayejua Application ya radio nayo weza ipakua kwenye simu yangu ya Smart phone (Xiaomi) na kuweza kuitumia bila kuwasha data, maana nimeona nyingi zinataka uwashe data kwanza...
Msaada wakuu
Hapo nashindwa kuiadd hiyo unallocated kwenye C.Nimejaribu kuweka softwares za kufanya hivyo ila mwishoni inataka nilipie kwanza ndio iendelee na mimi sitaki kutoa hela.. kwahiyo...
Kama heading inavyojieleza. Mtandao upo vizuri kwani mambo mengine nayafanya vizuri tu ila kudownload app kwenye playstore ndo yawashida inaload tu kwa muda mrefu.Msaada kwa anayefahamu chanzo cha...
Kila simu ya mkononi ina IMEI ambayo hubaki kwenye saver za TCRA kila simu inapopigwa. TCRA wanaweza kuona kama simu iliyoibiwa inatumika na sehemu ilipo. Simu yangu Iphone 4 imeibiwa na IMEI...
Hasa kwa wale wazoefu na simu za tecno, kuna simu ya tecno spark2 hii simu nimejaribu kuulizia maduka tofauti ya sehemu moja cha ajabu nmepata bei za aina tatu tofauti 230k, 250k, na 290k...
Hey jf naombeni msaada wenu wandugu kama kuna mtaalam wa IT anielekeze namna gani ya kuhack mawasiliano kwa maana akipigiwa mtu simu mfano wife na mtu mwngine basi namm nipate kujua kwa kuisikia...
Kumekuwa na vijana wengi siku za hivi karibuni wanataka kujaribu bahati yao katika ulimwengu wa kujiajiri na blogging, hivyo nimeona nisiwe mchoyo kuwapa ujuzi nilionao ambao utawafanya bloggers...
habari za mchana wapendwa,
Nimewiwa kuanza post hii, nikizingatia kuwa tuna wataalam na wanataaluma wa web design/development humu ndani.
Nilitaka kujua, unatumia mbinu gani kutengeneza website...
Nahitaji Tecno Winpad 2 ambayo ina 4G na WIFI pamoja na adapter converter (HDMI to VGA au USB to VGA) kwa ajili ya kutumia na LCD Projector. Au Tablet nyingine yenye sifa kama hizo. Winpad ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.