Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu naomba kujuzwa ni application gani nzuri ya kublock calls and texts. Nataka nisione kabisa calls wala texts.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ni ya simu. Niliharibu kupita kkoo na kuangalia ni ioi bora nikashindwa nikaona nije kuuliza wataalam humu. Ninunue card aina gani?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Here guys the list of web hosting site lakini if any one of you want to create OFFSHORE website like udult content/ hacking/ cracking et all you must pay for it others free u will get ban but i...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari, kwanza kabisa Heri ya chrismas na mwaka mpya 2017 kwa wote. Kwa wale wenye kumiliki Website zilizosajiliwa au yeyote mwenye uelewa juu ya namna ya kusajili website hapa Tanzania naomba...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari zenu wadau nauliza je simu za xiaomi (Mi) zinafika Tanzania?
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Yes....Kwa wale wanaotaka kupiga pesa online kupitia simu zenu,leo tumewaletea njia ya kufungua account ya paypal ukiwa Tanzania. Kumbuka ukiwa Tanzania huwezi kufungua akaunti ya paypal na...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wa Wakuu, Wapi naweza kupata Compressor za Atlas Kopico za upepo. Mtanisahihisha kwani sizifahamu vizuri, Ambayo pia inaweza kutumia digger (ya kuchimbia)
0 Reactions
3 Replies
744 Views
SMARTPHONES TANZANIA Ni Sehemu Pekee itakayo Kujuza Namna njema na Sahihi Ya kutumia Smartphone yako, Utapata Maujanja Zaidi ni namna Gani Ya kutumia smartphone yako Kijanja Zaidi.. Pia utapatiwa...
3 Reactions
86 Replies
11K Views
Habari za muda huu ndugu zangu Nauliza mother board ya hii computer nitaipata wapi kwa hapa dar Lenovo L420 thinkpad Processors corei3 Kwasasa nipo dar as salaam
0 Reactions
8 Replies
987 Views
Habari! Tafadhali...Nahitaji Kufahamu Jinsi ya Kudownload Music na Videos through iPhone Device.
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Habari wakuu naomb tusaidiane ku share experience actually nimeona tv katika mtandao wa JuMia online marketing. Aina ya eevol nchi 43 Ina future nyingi Sana nzuri na very affordable price.sasa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba msaada katika Hilo maana Mimi mgeni katka kutumia kompyuta na nahitaji kuitumia katika Mambo ya shule lakini haifungui mafile muhimu Kama Excell, Microsoft word na mengne.kama nakosea...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika kampuni za simu, Tecno ni kampuni bomba inayojali wateja wake na ndio maana tunawaelekeza wateja na watumiaji wote wa bidhaa za Tecno, kumekuwa na maneno ya upatu kuhusu simu za Tecno kuwa...
10 Reactions
111 Replies
13K Views
Wanabodi nimetembelea kwenye mitandao inayouza vingamuzi vya (FTA) Free To Air je vingamuzi hivi vinaweza kutumika hapa Tanzania? Na ikiwa vinaweza vikatumika je nahitaji dish la aina gani...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Hello Ndugu... Kuna Mada Jamaa Mmoja Aliileta Humu Inaenda Kwa Title Nimefunguka macho Jamaa Amejisifia Kweli Na Akaona C8 ndo Solution Ukiangalia Vizuri kwenye Comment Nilimjibu Kuwa Hizo Siyo...
10 Reactions
237 Replies
34K Views
Mambo! Aisee ni computer [Laptop} gani ambayo ni nzuri kwa maana ya kudumu na muonekano mzuri, na kwa Dar es Salaam ni sehemu gani ninaweza pata ambazo ni original.
1 Reactions
37 Replies
17K Views
Naomba kuuliza kama kuna anaefahamu App nzuri ya ku-download free music on ios,yaani App ambayo naweza download miziki bila restrictions kama ilivyokuwa kwa zile iDownloader ambazo zimefungiwa .
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa wale Wentworth Sinatra phone's zain android zenye matatizo ya memory ya RAM Kuwait Ndogo nakushindwa kuweka allocations kubwa Dawson no Mkude root cm ili apps ziamie kwenye SD card ya cm yako...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu, Salaam. Simu yangu ina shida ya kutoonyesha sms zinazoingia i.e. kuna wakati zinaoneka zinapoingia lkn wakati mwingine hazionekani ingawa simu inapokuwa idle huwa inawaka(mwanga) kuashiria...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
For sale External hard drive 1Tera Bei 110000 | Negotiation Location-kariakoo Condition-Used SOLD
0 Reactions
8 Replies
805 Views
Back
Top Bottom