Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu,heshima yenu..samahani nahitaji msaada wa wapi naweza kupata kioo complete cha simu tajwa,nimedondosha simu na inavuja tu wino ndani kwa ndani,kifupi natakiwa ninunue kioo kipya,mwenye...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wadau naombeni msaada, katika kununua kwangu vitu mitandaoni nimekutana na hii changamoto kuwa kuna baadhi ya mitandao inakuhitaji uwe na 3D verified card ili uweze kufanya miamala ya...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Samsung used my DSLR photo to fake their phone’s “portrait mode” - DIY Photography
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kuna yeyete anaejua ku change set up ya 3g netork katika android fones to 4g network anisaidie please.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
.
0 Reactions
3 Replies
679 Views
Habari sana JF najua ndipo kuna magwiji wa information technology. Naomba kujiua ni application gani ni installer ni weze kuludisha Picha na Massages zangu!?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kifaa cha kuingizia Umeme alimaarufu kama mita ndogo hakasomi network nifanyaje ili nijue units nilizonazo ili niongeze units zingine
0 Reactions
6 Replies
948 Views
Umewahi kutizama Televisheni yako au kusikiliza redio na kusikia makampuni ya kusamabaza huduma za mtandao kama Airtel, Vodacom, Tigo,Smart na wengine wengi wakizitaja sifa zao kedekede, kisha...
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Wakuu nilikuwa naomba kama kuna MTU ana full version ya Mavis beacon ama mbadala wake ambao naweza tumia kujifunza kutype
1 Reactions
2 Replies
699 Views
wadau natafta simu iliyokufa mashine aina ya samsung A3 2016 mwenye nayo aje PM TUMALIZANE
0 Reactions
4 Replies
669 Views
Watalaam, nina subwoofer langu linatumia umeme wa DC ila sasa natumia umeme wa AC huu huu wa tanesco kwa adopter, subwoofer Ina 12V na adopter ina out put 12V pia. Sasa ajabu nikiongeza sauti...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu wajuvi.. naombeni msaada , ni wapi zinapatikana Universal dc laptop adapters za magari yani charger za laptop ambazo naeza kutumia kwenye gari au DC power source yenye 12v...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu Nimatumaini Yangu Mnaumwa (sio wote) Mungu awafanyie wepesi in shaa ALLAH Turejee kwenye Mada Mwaka 2013 Ndiyo Mwaka niloanza kutumia Simu na Simu Yangu ya Kwanza NI TECNO-Q1 hii...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Ihabarini wakuu Hivi ni nani mmiliki mkuu wa internet .mfano....yaani tunavyomlipa Voda ,tigo ttcl nk na yeye anamlipa nani? Kumuwezasha kupata internet hiyo je na kama inavyosenekana internet...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Msaada jamani kwa anaejua labda kuna ujanja wowote jinsi ya kuzuia ads hata kama niko net yanajifungua yenyewe tu ni kero balaa
1 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau kuna folder nlilitengeneza mwaka flani kwa sababu ya kuhifadhia documents zangu kadhaa muhimu. nikasahau password zaidi ya miaka 5 sasa ninalo lakini nashindwa ku access hizo files. je...
0 Reactions
4 Replies
925 Views
Nauza Xbox one ikiwa na pad moja Cd 3 za gmes Metro, Rainbow na Fifa 18 Bei 750000 atayehitaji tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Hivi ukiweka App yako playstore alafu ukapata downloads nyingi sana .... je unalipya per downloads???
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukiacha namna ya kutafuta series kupitia index/serial au torrent namna nyingine ya kupata tv series? maana nimekuwa nikitafuta tv series kwa kutumia google search index/serial au sometime episodes...
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Salaam Kuna LED TV aina ya Sony Bravia imetoka Dubai. Sasa lugha iliyokuja nayo ni Kijapani. Nimejaribu kugoogle niweze kubadili lugha napata ipo kwenye setting lakini kila nikijaribu kuingia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom