Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
CRYPTODIAMOND. ni kampun ya kimarekani inayomilikiwa na Julie H. Anderson yeye ndiye Owner & Founder, CryptoDiamond.Tech Ltd. pia inamiliki COIN yake yake ya CDT COIN ( Invest in your future...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana nilifanya Purchase ya Tv inch 50 Kwa euro 51 bahati mbaya seller alikua ni tapeli hapo ebay nikaamua ku cancel order mpaka sasa nimesha nishamalizana na ebay kuhusu ku cancel order na pesa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu nafikiri mko pouwa, Sijui kama nitakuwa nimeweka kwenye jukwaa sahihi kama sivyo mods watanisaidia kupeleka kwenye jukwaa sahihi. Ishu yangu ni jinsi ya kuunganisha maji ya DAWASCO /...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
habari wanajukwaa, msaada kwa anayejuajinsi ya kureset bios password kwenye laptop. achana na zile ambazo unatoa cmos battery then unarudisha ina reset.
0 Reactions
4 Replies
857 Views
Hawa halotel wamekuwa wakinipa huduma bora kwenye internet ila hii wiki mambo yamekua tofauti, Kuanzia juzi hadi sasa internet imekuwa ni slow mno mpaka kero.....Instagram siwezi kuitumia kabisa...
0 Reactions
5 Replies
859 Views
Msaaada wenu wakuu [cloud router/wireless cloud router] Kifaaa hichi kinafanyaje kazi na kinauzwa bei gani????
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina site yangu ya kuuza bidhaa na kununua bidhaa nilitumia osclass kutengeneza sasa juzi nilikuwa nimeweka Google translate ndo hapo limejitokeza tatizo hili mtu akitaka kupost tangazo sehemu ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wadau Ninaomba kufahamishwa kati ya mashine ya kudurufu karatas ya epson L385 na hp inayouzwa 150k ipi ni bora kuliko nyingine?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Introduction - Free HTML Tutorial People often think it is extremely difficult to make a website. That is not the case! Everyone can learn how to make a website. And if you read on, you...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Robot Stripper
0 Reactions
4 Replies
682 Views
Niliitumia leo asubuhi sana sana na nikatoka kwenda kuoga ,niliporudi nikawasha nikakutana na hilo tatizo. Laptop haikuanguka wala kusogea sehemu ilipokuwa. Dell Latitude E6410 Msaada wakuu,hapa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Simu yangu haisupport USB cable sijajua tatizo ni PC au simu. Lakini cable ni mpya na inafanya kazi vizuri
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hapari wana jamiiforum naba anaejua app ya kurudisha mesage ambazo nilishazifuta. Naomba msaada plz
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau nimejaribu kuingiza azam tv app kwenye laptop,sasa ukiplay inatoa sauti tu picha haionekani,naomba mwenye utaalamu anisaidie nifanyaje!
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Offer[emoji95] Offer[emoji95] Offer[emoji95] Desktop HDD(Hard Disc Driver) sata 4TB . New brand alafu zipo sealed kabisa ninazo piece 8, @ 270,000/=
0 Reactions
6 Replies
591 Views
Mkuu naomba msaada kipi nachomeka kwenye hizi port za hapa accordingly yaani. 1.Kisimbusi 2.Radio 3.Deki Ahsanteh
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ninaka-laptop kangu kila niki-connect katika power source kinaniambia charge connected but not charging msaada plz...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu ni Browser gani ambayo ni nzuri kwa simu za Android inayoweza kufungua websites zote kama Laptop ukiondoa Puffin web browser?
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Naombeni msaada wenu kwenye ku-appload certificate, kuna mtu amenieleza kuwa lazima ufate atua izi 1. Unatoa copy certificate zote 2.unapeleka copy kwa mwanasheria, anazisaini na ķugonga muhuri...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Back
Top Bottom