Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Simu hizo huwa moja wapo kati ya hizi: TECNO , SAMSUNG SONY, na nyingine nying za aina hizi. Kama simu yako iliyopotea ni android usiwe n wasiwasi. Hebu tufuatilie njia zifuatazo zinazoelezea kwa...
2 Reactions
19 Replies
15K Views
Hello! Technician. Kuna thread hum ililetwa kuhusu your freedom APN nimejitahid kujifunza nimeshindwa kukamilisha. Naomba kujua hatua za mwisho mwisho ili kukamilisha mchakato mzima ni zipi...
0 Reactions
3 Replies
37K Views
Utapata channel ngapi maana sio wote tunapenda madishi ya futi 6 au futi 8 Kuna mtu anatumia madishi madogo ya KU band atuambie yeye anapata channel ngp? ukiwa na receiver kama freesat ,mediacom...
1 Reactions
37 Replies
20K Views
Ukitaja michezo (games) maarufu ya mpira kwenye simu basi hutakosa kujua Dream league. Ni moja ya mchezo ambao umeandaliwa vizuri sana. ‎hizi ni baadhi ya sifa za huu mchezo ‎kwanzia...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Natumaini hamjambo, Hii ni kwa wale wanaopenda kucheza magem ya mpira kwenye simu... Nimecheza Dream League Soccer 2018 na kuchukua makombe yote yaliyojitokeza mbele yangu yaani sina mpinzani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu Nimebadilisha windows majuzi lkn kila nikiconnect PC na WiFi inakula data balaa, 1gb inakatika kimchezomchezo nikauliza Mdau akaniambia windows mpya huwa inaupdates. MSAADA 1. Je ni data...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na simu aina ya doogee, nikaona nije niulizie najua humu kuna watu aidha wameshazitumia au wameziona kwa jamaa zao CHIEF MKWAWA mwl Rct
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Drone hizi ni aina vifaa ama ndege ambazo zinaweza kupaa pasipo kutumia rubani ila inatumia wireless control (radio transmission). moja ya aina za drone ni Quadcopter, hii ni aina ya drone ambayo...
2 Reactions
16 Replies
15K Views
Nifahamisheni wakuu ni duka gani Dar es Salaam, Zanzibar au Arusha nitapata Bunduki bandia. Nahitaji Realistic Toy Shortgun. Pia kuna utaratibu wowote wa kisheria nitatakiwa kuufuata ili kumiliki...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamii Forums .. Nilikuwa nahitaji msaada kwa yeyote mwenye kujua utofauti Kati ya blog na website pamoja na mifano yake kwa ujumla. Mwisho wa kuwasilisha.
1 Reactions
44 Replies
8K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba kuuliza, hivi torch browser inapatikana kwa android au ni kwa PC tu peke ake...? Kama ipo kwa android naomba mwenye link yake anisaidie niishushe wakuu. Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Habari wadau naomba kueleweshwa matumizi ya hiki kifaa
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naitumia kufanyia mazoezi asubuhi, baada ya muda nikarekodi hizi vitu hapa chini ila sielewi maana zake, Msaada plz kueleweshwa Fat: 0.17107g Heat: 0.132000 Speed: 0.001471 Mileage: 1.920000
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari Geeks Nina plan ya kumchukulia bwana mdogo smartphone kati ya hizo nilizoainisha hapo juu kwaajili ya matumizi ya kawaida,camera na perfomance ya simu husika vinapewa kipaumbele. Nawasilisha.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini za saa hizi wakuu. REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU. Samahani kwa usumbufu. Nina mdogo wangu anahitaji msaada wa namna ya kuondoa Password katika pc yake ingawa anajua password ila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa anaye jua code/apk za kufanya ukipigiwa cm...ioneshe haupatikani hata kama upo hewani....na nipate nitification kw walio nitafuta
0 Reactions
4 Replies
809 Views
Mfano, ukiangalia gari unaona gari moja tu japo una macho mawili na kila moja linaona
3 Reactions
82 Replies
10K Views
Nahitaji Ram ya Dell latitude (d800) 1gb
0 Reactions
6 Replies
820 Views
wakuu simu yangu Aina ya TECNO CAMON X imepatwa na tatizo kila nikiiwasha inaishia kuwaka na kuandika jina tu then inaanza Ku load paspo fika kwenye files, naomben msaada nifanye nini
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi wadau kwa anayefaham ni maiki ipi itanifaa yenye bei ya kawaida kwa ajili ya kutengeneza tutorials kwenye laptop yangu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom