What's up members. Leo nimewaletea Trick Mpya Ya Ku View Na Kudownload Instagram profile picture ya instagram account yoyote (Hata Ya private account) bila kutumia App yoyote
USISAHAU KU...
Habar za wakat huu wadau......... Kwa Neema ya mungu mi ni+salama. Naomba kuelimishwa na kushauriwa pia juu ya hili:
Nakiri kuwa sijawahi kutumia simu yoyote ya iphone tangu nijue smartphone zaid...
Habar zenu wadau.
Leo niko na hoja kwa wale wanaotumia Startimes antenna
Miaka ya nyuma kulikuwa na zile code unapata channels za bure kama mbcbollwood mbc colorstv n.k
Je siku hizi mnazipata...
Habar za asubuhi wapedwa,naomba kwa wajuzi wa mambo haya ya mitandao wanielimishe hiv inatokea vip hujafuta majina katika whattsap contacts yako lakini cha ajabu kama ulikuwa na majina 250 wasap...
Habarini wadau.....
Naomba kujuzwa, ni lini kwa mara ya kwanza smartphone (touchscreen au Androids hizi) ziliingia kwa mara ya kwanza kwenye mashelfu ya wauza simu na mikononi mwa watumiaji wa...
Nawasalimu wote katika jukwaa hili ! Naomba Kujua Shida ni yangu pekee yangu au hata kwa bloggers wengine kwenye AdSense yangu malipo yanasema kuwa yanasubiri (Pending) na email sijapata na suala...
They call them hackers or may be crackers at times, but I call them Computer geniuses.
In this century unit is everything. If you can hack....please let’s catchup and make the world a better...
Habari za wanajamvi, Msaada huu kwa wale waliosoma Engineering (Civil), wakuu naomba kama kuna atakuwa na soft/hard copy ya kitabu tajwa hapo juu anisaidi hata kama ni kwa malipo, please...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, natafuta kwa hiyo model (sijui kama ni sahihi) ya c 125 hp co i3. Naweka na picha. Kwa mwenye nayo tafadhali tuwasiliane inbox
Habari wana Jf,nipo dodoma mjini kwa sasa ninahitaji kukutana na watu wanaosoma kozi ya IT kwani nami nataka kusoma mwaka huu..kwa mawasiliano katika whatsapp namba 0765268205
Naombeni msaada wakuuu simu yang tecno l9 inazingua mtandao na kupandisha e tyu ila tatizo limeaanza baada ya simu kudondoka ... Msaada wakuu nifanyaje
Naomba nisalimie baada ya hii paragraph hapa chini!
Eti, nikitaka kujua kama mtu kani block kwenye whatsapp natumia ujuz gani??! Naomba kujuzwa kama kuna utaratbu wowote hnaohusika hapa...
Aisee Nipo China tangu jana lakini simu hazitoki, social media zote, google, YouTube, vyote siwezi access chochote. Simu yangu nimebaki kutumia camera na saa tu. Ni ishu aisee nifanye wenyeji au...
Msaada kwenye tuta jamani. Simu yangu hapokei data kutoka mitandao ya kijamii niliyo nayo (whatsapp, facebook, instagram na twitter) lakini Google na YouTube zinafanya kazi kama kawaida hata...
Habari zenu wakuu.
Kwakweli kwa nafasi niliopata kazini inanilazimu niwe na printer ili nifanyie baadhi ya kazi nyumbani.
Sasa mie hizi mashine sizijui fresh, nikaona nikiingia kichwa kichwa...
Wasalaam Wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu...nlikua nataka kujiongeza kdgo nichukue flat screen tv ya bedroom kwangu...going thru the internet likaibuka wazo la kuchukua projector...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.