Wakuu hebu mwenye kufahamu anifahamishe, sijui account ya Facebook imekumbwa na jinamizi gani nilizoea kupokea friend request za watu intelectual lakini kwa siku za karibuni hali imebadirika...
with this firmware you'll be able to
fix camera failed problem
solve hang on logo
clear passwords,pin & pattern
clear privacy lock
bootloop issue
unsupported API
DOWNLOAD HERE
[TECNO SPARK PLUS...
Watalaam wa simu naomba msaada wa kurescue simu yangu aina ya tecno Camon.
Yaani inaonekana iko full alafu ninapoitumia inakuwa ya motooo.
Sasa sijajua kitu gani kimekula space hivyo? Na apps...
Poleni kwa mihangaiko ya kila siku ndugu zangu! Pamoja na mijadala ya Dola pamoja na korosho lakini maisha lazima yaendelee..
Naomba msaada wa REIMAGE PC REPAIR 2018 WITH LICENSE KEY.
Naamini...
Wakuu naomba kufahamu hili kwenye Tecno w4 ukiangalia kwenye storage ram inaonekana ni 425 na ukiangalia kwenye developer options(running service)free ram ni 638 hii wakuu imekaaje!
wakuu nazani bila shaka humu kunamafundi au watu wanao miliki magari aina ya mark x. mm binafsi nishakutana nayo kama magari 5 au 6 hivi na nishapata kesi zake zaidi ya 20. mark x inaugonjwa...
Wakuu,nina redmi note 4x(SD-32gb) torch yake inawaka mwanga blue, usiku ukipiga picha kwa kutumia flashlight.......picha inakuwa too blue.
Nimejaribu most of software troubleshooting trick,but...
Habari wana jamii....naomba kufahamu app inayoweza ku block namba ngeni kuingia kwenye cm yangu(namba ngeni isiweze kuingia kwenye cm ) asanteni nategemea msaada wenu
Dr. Mark Dean, an African-American computer scientist and engineer, spent over 30 years at IBM pursuing the Next Big Thing. He was chief engineer of the 12-person team that designed the original...
msaada wakuu kuna hii simu nimeona mahali tangazo lake nimechoka kutumia simu za gharama nataka niwe na low cost with maximum satisfaction je hiyo dimu itanifaa cc Chief-Mkwawa
Natumaini wote mko fresh kabisa, this past week i was invited to Andela Kenya(Nairobi), when i arrived i realized that there's no Tanzanian at Andela while the opportunity to join is free for...
hii simu INA Tatizo LA kuandika responding .
Utakuta upo Facebook, ghafla linajitokeza neno - Facebook isn't responding.
Wataala wa simu naomba msaada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.