This is a scholarly article of three GM corn varities fed on rats.It can be found in the following link.
A Comparison of the Effects of Three GM Corn Varieties on Mammalian Health
The...
The debate around genetically modified organisms (GMO) is huge and heated on either side. However one of the major considerations when arguing against the use of GMO products is the potential for...
Natafundi wa Flat screen LG Tv.
Tatizo ni kuwa nikichomeka nyaya za king'amuzi cha azam basi TV inajizima.
Inabidi mpaka uzima kwenye umeme na kuwasha umeme ndio inawaka tena
Natanguliza shukrani
Wadau,
naomba yeyote mwenye utaalam wa jinsi ninavyoweza kusafisha display ya hii calculator. Ukitazama picha utaona upande wa kulia wa display wino kama unasogea, ni vipi naweza kurekebisha...
Mafundi wenzangu nimekutana na tatizo hili "protection" radio ni sony ukipachika umeme standby imetulia ila ukibonyeza power tu inataka kuwaka sekunde moja inakata kwenye display inakuandikia...
Wakuu kwa wale ambao ni wajuzi wa teknolojia watumiaji wa DSTV decoder yangu ina sehemu ya kuchomeka USB shida imekuwa ni wapi nibonyeze ili nipate option ya USB...vile vya AZAM vina button ya...
Wakuu salaam!
Namshukuru Mungu nimefanikiwa kumiliki kausafiri nina funcargo, ila siku za hivi karibuni kuna tatizo ambalo limeanza kusumbua gari langu.Iko hivi gari linapokuwa limepaki na liko...
Habari wana jukwaa, Leo nilikwenda town (city center) kununua new brand laptop. Baada ya kupitia maduka kadhaa kuna brand kama 4 hivi nimevutiwa nazo japo specifications zake zinafanana...
Maisha ya coders yanakuwaga ya ajabu sana, anaweza asitoke nje siku nzima yupo kwenye screen tu anachapa Jodi za kutengeneza program, web apps, hacking, n.k
Mara nyingi wale coders huwa hawawezi...
Wassalaam ndugu
Nilikua naomba kuuliza ili nijuzwe
Je tatizo la fingerprint kwenye iphone 6 plus huwa linasababishwa na kioo endapo kama ukibadili kioo tatizo linakua fixed
Au tatizo ni system...
Wanajamvi habali ya Leo, nikiwa huku ntwara kununua koro-show kuunga juhudi za CEO wa tz ninaomba msaada wa namna ya kutengeneza mfumo wa kutuma SMS za kawaida kwa watu zaidi ya 1000 kwa wakati...
Habari wakuu,
Nimefuta service files pc yangu, na sasa napata ujumbe wa erro (0x80042302). Je nifanyeje ili kurudisha katika hali ya kawaida,ni install windows upya ama ni formart tu. msaada...
Msaada wapi naweza pata Display complete ya J7 neo Model(SM-J701F/DS)
Na kwa bei gani wenye uzoefu na pia kama kuna mtu anafahamu na uzoefu wa kununua nje anaweza share pia soko zuri la kupata hii...
Technologia inazidi kukuwa na mambo mengi yanazidi kugunduliwa na kurahisisha kila kitu. Kuna hii APP inaitwa TRUE CALLER ambayo kwa kiasi kikubwa inasaidia sana kumjua aliyekupigia simu hata kama...
Mada hapo juu yahusika
Wakuu naweza kupata wapi Laptop Dell Latitude 7390 Inch 13.33" ==Ultraportable (7th gen Core i3/i5, 8th gen Core i5/i7)
Natanguliza shukrani
download free network unlocked alcatel one touch 1050 g and 1050d flash files to unlock your network locked alcatel phone
NB after flashing if you encounter invalid sim,please repair its original...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.