Wakuu najaribu kufungua eBay a/c sasa kuna kile kipengele cha kuweka information za ulipo ili bidhaa ikufikie , kuna baadhi ya vitu nashindwa nijaze nn mfano
1: ENTER ADDRESS
2: STATE /...
nilikuja na ombi la namna ya utengenezaji wa web kama hii ila mpaka kufikia leo sijapata msaada nawasilisha naomba kujuzwa... CHIEF MKWAWA
Home Page | Halab Tech Support
katika pita pita zangu nikakutana na na ilo tangazo pichani kua sasa kuna uwezekano wa muamisha ela iliyopo paypal kwenda kwa account yako ya bank ya crdb bank.nazani sasa wale mlikua mkilipigia...
Wakuu habari za weekend. PC yangu kwenye wi fi haiwaki on , nikiclick kwenye WiFi haioneshi on au kubadilika ranging inakuwa bluu yaani on, nataka koconnect na internet ya simu nitumie PC...
Salaam wakuu wenye hili jukwaa.
Samsung 7 pro imecrack screen nimeingia kwenye mafundi screen replacement wanasema bei ghali sana, nikaingia online kutafuta touch sreen only,
Nimeipata kwa bei...
Jamani simu yangu touch ya back zile ya chini yaani za kushoto na kulia zimegoma kutouch nimejaribu kuweka touch mpya lkn mambo ni yaleyale naombeni msaada. Cm yangu ni J5
Umezawadiwa vocha ya Uber ya Tsh 3,000 BUREE kwa kulipia bili yako kwa kutumia Tigo Pesa. Tumia fumbo la siri TDex9s78 kwenye Uber yako ili kutumia vocha yako
-- KAMA KUNA MTU ANAEFAHAM ATUELEZE...
Wakuu
Nataka kuanza kufanya kazi ya kufanya video za muziki kwa kuanzia, na nikajaribu kuangalia ni kamera ipi naweza kuanza nayo kwa kuangalia aina ya kazi nitakazo anza kuzifanya na bajeti pia...
Wajuzi wa hili jukwaa mnisaidie, simu yangu betri haliingizi chaji linabaki 1% muda wote. Tatizo nini, na nifanye nini kutatua, je kama ni betri naweza kupata wapi?. Natanguliza shukrani endapo...
Wataalamu wa hizi app nimejaribu kudownload hii app lakini uingia play store sehemu iliyoandikwa play protect kuna maandishi kwenye hii lucky patcher yameandikwa harmful app sasa ninaomba kujua...
Msaada wadau.. simu yangu aina ya samsung galaxy note4 inaleta mushkeri sana.
Mwanzon kabisa ilikuwa vzr napata netwk ya kupiga simu na internet kwa ujumla.
Ila muda ulivyosogea ikaanza kuleta...
Habari za jioni Wakuu.
Kama mada inavyosema hapo juu naomba msaada wa jambo langu hili.
Katika mizunguko ya kazi leo nimelikuta hili. Kuna compressor moja imetengenezwa sasa baada ya...
Wadau za asubuhi. naombeni maarifa yenu namna kufungua smartphone na kupata taarifa ndani yake bila kuathiri kupotea kwa data husika. Najua kina Mkwawa na wengine watatoa msaada humu. Natanguliza...
Habari wakuu natumai ni wazima ...... naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika naomba msaada wa kujuzwa namna ya kudesign web kama hiyo kama ilivyo uelewa wangu upo kwenye Wordpress (wp)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.