Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wapendwa! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua utofauti kati ya "software" na "program" ambazo kimsingi zote zinatumika kwenye kompyuta. Na pia nahitaji kujua mfano wa...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
kuna tatizo linanisumbua kwenye njia ya mkojo lina muda mrefu toka 2011 na lilianza kidogo kidogo nikibinya kuna maumivu nayapata kama ya vidonda nimeangaika hospital walinichoma powersef lakini...
0 Reactions
3 Replies
773 Views
Tafadhali mwenye hiyo crack anisaidie maana nimetafuta google mpaka nmechoka
0 Reactions
2 Replies
558 Views
Kwa wale wataalamu wa IT,kuna document yangu niliweka kwenye format ya PDF na nikaiwekea password sasa bahati mbaya nimeisahau na ni ya muhimu sana,kama kuna anaejua ni jinsi gani ninaweza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kuuliza ndugu.. Hivi ukiwa unatumia WhatsApp number ya mtandao wa simu wa Tanzania labda tigo au voda alafu ukasafiri kwenda nchini Afrika kusini.. Je utakuwa na uwezo wa kutumia namba...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji gaming laptop HP OMEN, MSI, and the lyk ilimradi iwe na specs za gaming preferably ikiwa 17.3".. Nna 900K at reasonable am ready to topup.... Nawasilisha Wakuu
0 Reactions
1 Replies
988 Views
HABARI ZENU WANA JF PS3 yangu ina tatzo la kuonyesha screen nyekundu ukiiwasha yenye maandishi fulani ambayo siyo ya kiingerezA. Msaada kwa anayejua solution au anayemfahamu m2 anayeweza...
0 Reactions
2 Replies
975 Views
Kichwa cha habari chahusika, Nikiri tu yakuwa mimi ni mmoja ya watumiaji wa mtandao pendwa wa Whatsapp ila nimekuwa nikikutana na changamoto ya kuungwa magroup mbalimbali bila ridhaa yangu hali...
4 Reactions
62 Replies
13K Views
Download game la Fifa hapa Download game la Fifa19 hapa baada ya hapo fuata maelekezo ya kwenye video Youtube hii Ili ulifanye licheze
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Jaman ninashida... Nina kamera imevunjika display.. Ni canon g 16. Naweza pata wapi screen? Nimezunguka madukan nimekosa... Na je nawezaje kuagiza kutoka nje kikanifikia?
1 Reactions
13 Replies
831 Views
Naombeni kuelimishwa,hivi binadamu tupo ktk type ipi ya matter ,compound,elements au mixture?
0 Reactions
3 Replies
983 Views
Kuna filamu moja inaitwa Tangerine. Hii movie imeshutiwa kwa kutumia Iphone 5. Bajeti ya hii movie ilikuwa dola 100,000 na box office ikiwa dola 950,000!!. Siku hizi teknolojia imerahisisha sana...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
leo nimeenda kubadili simcard yangu ya vodacom kusudi wanipatie inayosapoti 4G chaajabu eti kubadili nimeobwa Tsh 2000 daah mpaka nomechoka sasa nahiuliza hili ni kwa wote ama ni baadhi ya vodashop
1 Reactions
22 Replies
2K Views
I hope tuwazima wa afya, Pole kwao ndugu afya azipo sawa. Asus yangu imekatika kiwire kinachotoa moto kutoka kwenye mother body kwenda kwenye Screan. Ikiwa kuna mahali naweza pata Fundi umu au...
0 Reactions
8 Replies
968 Views
Wakuu wa JF, naomba msaada juu ya ubora wa hii PC, na nambiwa ni mpya tatzo ni bei iko very cheap! naomba uzoefu kama uliwahi kununua kwa hili duka BONGODUKA KARIAKOO, DAR. Lengo naitaka hii PC...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
IT
Habari Jf, naombeni msaada wakuu ni sehemu(kipengele) gani kina dili sana katika utengenezajiwa pesa kitaa katika kozi ya IT.
2 Reactions
5 Replies
665 Views
Wakuu, Habare? Baada ya kuibiwa iPhone 6 yangu (I miss FaceTime n iMessage) na note 4 yangu kuharibika, nikaamua kutafuta any low end device angalau tu nipate access ya net. Katika pita pita...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Hey naomba msaada jinsi ya ku root nokia 3 yenye android OREO
0 Reactions
1 Replies
555 Views
msaada dell d620 inagoma kuwaka display mnisaidie jamani laptop yangu kila nikiwasha inagoma kuwaka pia nikiweka chaji haionesh kama inapeleka inawaka ta ya power na kuzima baada ya sekunde chache
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Mwenye disci ya ID 500GB aje tufanye biashara.
1 Reactions
4 Replies
697 Views
Back
Top Bottom