Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
.
1 Reactions
2 Replies
452 Views
Habari zenu wakuu !! Katika kuperuzi peruzi apa JF nime jikuta kila post ina onesha Just now hata kama ni comment ya siku chache zilizo pita notification pembeni inaonesha just now Kwa watumiaji...
0 Reactions
6 Replies
792 Views
Habari wakuu! Anaejua zaidi hizi mashine ubora wake upatikanaji wake pia faida na hasara ya bitcoin.. Pia nasikia zinaconsume umeme mbaya na kelele kama engine ya trekta. Anaejua zaidi naomba...
0 Reactions
5 Replies
626 Views
Wakuu pole na majukumu ya kila siku!!moja kwa moja kwenye mada, account ya fb upande wa messenger, haikoneti internet kwa wiki sasa.ikiingia message naiona lakini kurespond inagoma maana inaandika...
0 Reactions
4 Replies
840 Views
Nawezaje kudownload video Instagram ?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu naweza pata verification codes za whatsApp bila namba kua hewani??? Msaada
1 Reactions
3 Replies
940 Views
Habari zenu wadau, you tube kwa sasa kama wamebana hivi kushusha mzigo, kama kuna mdau anajua njia mpya ya kudownload video moja kwa moja atuambie Zamani tulizoea kuandika "ss katika link kisha...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habar wana jf me natumia simu aina ya infinix hua Mara kwa Mara inaniletea notifications ya ku- update system ,,,,,naomba kuuliza ni zipi faida za ku-update system
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu natafuta kioo cha tv yangu sony bravia inchi 40 flat screen napatikana Dar
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Napenda kujua ni jinsi gani naweza kuchanganya rangi ikawa yenye mvuto kulingana na picha na maandishi! mf nikiwa na background ya blue ni weke maandishi rangi gani na gani ili ivutie kwa...
0 Reactions
0 Replies
459 Views
welcome to www.hi-protechy.com for verified factory signed firmwares,mobile phone unlocking and flashing..we also provide remote flashing and unlocking services right where you are... visit our...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
karibu www.hi-protechy.com kwa mahitaji ya kuflash ,kuunlock simu na mafaili ya kuflashia(factory signed firmwares).tunatoa huduma ya kuflash na kutoalock za simu huko huko ulipo kwa gharama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanabodi, Nauza laptop yenye specifications zifuatazo: Operating System: Windows 10 Pro Processor: Intel Core i3 CPU: 2.0GHz RAM: 4.00GB System Type: 64-bit Operating system Hard Disk...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu, Natafuta kampuni nzuri yenye low transactions fee and great customer service inayotoa mobile payment API for android apps, specifically node sdk integration. Nahitaji kuintegrate payment...
0 Reactions
1 Replies
550 Views
NOTE #1: Kuroot simu yako/tablet yako ni risk, na unaweza kuiharibu kabisa. NOTE #2: Sitawajibika kama kwa namna moja ama nyingine utaharibu simu yako. NOTE #3: ROOT AT YOUR OWN RISK Sasa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimekutana na flash na memory card nyingi, mwanzo inakua nzima ila ghafla siku inafika unataka kuweka vitu inakukatalia halafu inakwambia 'Device is Write Protected' kama umechomeka memory card...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa wale wenye uhitaji wa kuongeza Followers instagram na Likes FB Download app ya kuongeza followers instagram na kuboost likes FB
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari Wana jamvi! Bila shaka mpo okeay, huku tukisonga na gurudumu letu la kuijenga Tanzania pendwa. Moja kwa moja naomba niende kwenye maada husika. Naomba kujua/kufahamu namna ya Ku extract...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu naombeni kujuzwa duka lenye laptop kwa wingi ili niwe na uchaguz wa laptop inayofaa pia kama lipo lijulikanalo kwa bei afadhar kidogo na lile la bei ghali
0 Reactions
31 Replies
13K Views
Wakuu msaada wenu unahitajika... Nimeresett pc hapa, ila baada ya kumaliza process mafaili yote yamebadilika kuwa PPTX... Ni kuanzia audio, video, picha hata exe files....naomba mnisaidie jinsi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom