Wakuu nina simu imekufa kioo. Nataka nipate baadhi ya data zilizomo kwene cm tatizo nikiweka kwene computer inanambia folder empty ili hali picha zipo na data zingine zipo naomba msaada wakuu.
Nina tecno CX air.Whatsap inashindwa ku update.Nimejarib na apps zingine pia inashindwa ku update.Nimejaribu kuzima na kuwasga,kutumia wi-fi nimeshindwa.Wandugu naomba msaada wa hilo...
Habari! Wakuu napenda niende moja kwa moja kwenye shida yangu.
Kwa ufupi tu Kuna NGO ndogo ina member kama si chini ya 11 hivi moja kazi zake ni kujihusisha zaidi na matatizo ya jamii na kujiweka...
Nilikua na type kazi kwenye Ubuntu ghafla file likawa corrupted sahivi halifunguki kabisa.
Nimechange kuwa docx lakini wapi sijafua dafu pamoja na kufungulia kwa window OS.
Nisaidieni powerful way...
hivi humu ndani tunashindwa kweli kugeana support ya kusubscribe channel zetu za youtube na tukafikia malengo ya kupata hizo dollar zao sambaza upendo kwa kusubscriber channel za youtube
Habari ya mchana bandugu bapendwa.
Nilikuwa natumia TECNO J8 nikaiacha nikanunua TECNO CA7 (Camon X). Nilivyoanza kutuma Camon X nilitumia email yangu ya gmail na namba zote zilizokuwepo kwenye...
nilikua na simu ya xperia z3 clone/feki nkadowload app ya cpu z ikanisomea specification sawasawa na zile za gsm arena yan kila kitu okay.
simu ilianza kunipa wasiwasi kwa camera yake mbovu...
Hodi waungwana. Jana nimefungua akaunt ya eastpesa lakini kuverify imekuwa shida, nashindwa kutuma viambatanishi km picha, id etc
Naomba kwa anaefahamu anisaidie
Ebwana vipi Kupitia YouTube nimeamua kufungua kaChannel kangu kanachohusu Tech....yaan matatizo yote ya Technology kuhusu simu yako na Web kiujumla.
.
Leo nataka niweke video 5 za Mwanzo lakini...
mi mmoja wa wadau wa hil game tena npo addicted bt tatzo cjawah kulcheza online..embu naomba mnielekeze namna ya kucheza kwasabu nkicommand ile sehem ya kucheza online inatafuta match thn inafel...
Najua neno hili tunaliskia sana na kuliona kwenye camera zetu, lakini je tunajua lina maanisha nini
Kabla ya megapixel (MP) inabidi kujua pixel ni nini
Pixel ni viboksi vidogo vidogo ambavyo...
Wakuu
Hili tatizo hii nisimu yangu ya tatu kunitokea.....ingawa synch iko activated....huwa inafanya synchronization lakini baada ya muda fulani unakuta zimefutika kotekote au majina hayaonekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.