Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wadau, Kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kununua hii printer, i.e Epson L1800, hapa nchini au nje ya nchi, nimejaribu kucheki amazon ambayo inapatikana muuzajia haitumi Tanzania, Vilevile...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
NEW YORK (CNNMoney) | April 9, 2012 Facebook has agreed to buy photo sharing network Instagram for $1 billion in a combination of cash and stock, the company announced Monday. It's...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hilo tatizo limekuwa sugu kwa muda mrefu sana na mafundi wengi wameumiza vichwa bila majibu. mafundi wengi tulikata tamaa tukajua hilo huenda tatizo halitengenezeki. lakini kwa sababu akili za...
2 Reactions
18 Replies
6K Views
Naomba msaada jinsi ya kum blacklist mtu yani,akikupigia cm ackupate na akikutumia sms icfike kwako!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari WanaJF kuna hizi simu ndogo za button kama za nokia..Samsung na zinginezo! Hizi simu mara nyingi huleta tatizo la code hasa pale unaposahau code kama ujuzi ni mdogo kama wangu inasumbua...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Wakuu, kama mnavyojua tatizo la huu mtandao wa TTCL kuhusu upatikanaji wa vocha zake, hasa maeneo ya huku mikoani ndanindani ni nadra sana kukuta vocha madukani. Hvyo naomba maujuzi kidogo namna...
1 Reactions
14 Replies
12K Views
Wakuu! Habari za leo Naomba Mwenye app ya E. A. TV East Africa Tv Anisaidie Nina shida nayo Sana.
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Natumia IPhone 8+ mpya lakini siku hizi mbili yaniambia ni update nipate 12 Nimejaribu ku update kwa kutumia wi fi ya tekno imegoma inasema hakuna network Msaada wenu wajuzi wa hizi mambo...
0 Reactions
1 Replies
577 Views
Wakuu kwanza natanguliza salaam kwa wakubwa NA wadogo! Nina pc yang ya lenovo minicomputer imepata crack kwenye screen sasa hivi imeweka wino ,naomben msaada jins ya matengenezo NA gharama zake...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nina Printer ya Epson L805. Jana asubuhi nimekuta imemwaga wino wote kwenye tank la kutolea wino mchafu. Catrage zote ziliisha wino. Nimejaribu kujaza wino tena lakini kila nikijaribu kuprint...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada wadau Namna ya Kublock smartphone iliyoibiwa ili asiweze itumia.
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Naomba msaada simu yangu haikubali ku-update Hi Font na hata nikijaribu kutafuta mpya Play Store siipati.
0 Reactions
2 Replies
519 Views
Naomba msaada jinsi ya ku-root simu ya tecno spark 2 bila kutumia computer.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau wa Software Dev. Nahitataji kutengeneza API zitakazotumiwa na mobile app & web app Nahitaji kutumia database table moja kuhifadhi mobile & web app users. Mobile App users watatumia phone...
0 Reactions
6 Replies
874 Views
Habari wapendwa husika na mada hapo juu baada ya kutumia Vodafone 200 kwa muda mrefu sasa Niko tena sokoni kuangalia simu yenye uwezo sasa nauliza IPI iko vizuri kati teknoL9 na teknok7
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wadau mnaendeleaje? Mimi msinichoke tuu maana napenda kuuliza kwa sababu napenda kijifunza. Naomba kwa wadau ambazo mshafanya kazi na hawa jamaa ambazo wanaonekana ni alternative to Google...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Heshima kwenu wana nzengo! Hii os ya window iliyokuwa inatumika kwenye simu za microsoft/ nokia na baadhi ya simu ndio imeshindwa katika soko? Nilitumia microsoft, ilikuwa smooth sana, ila...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Shikamoni wanajukwaa la TEHAMA. Niendee moja kwa moja kwenye mada.Nilikuwa naomba mtu yeyote anayejua link ya ku download Microsoft Office toleo la 2016 aau 2013 nina shida nazo sana. Asanteni
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu Habari Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Nilikua na Yahoo émail ambayo kimsingi niliitumia sana kwa mambo yangu hasa yahusuyo career yangu Niliacha kuitumia Kwa muda mrefu baada ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikiona nyuzi mbali humu jukwaani na kwa baadhi ya watu kuhusu hz simu za Xiaomi kwmb ni simu bora. Nataka kuagiza simu ya Xiaomi RedMi 4x...
2 Reactions
54 Replies
11K Views
Back
Top Bottom