Msaada wakuu. Hii simu bado mpya kabisa lakini nikiweka tathering na nikaconnect PC basi simu inapata moto vibaya sana.
Mwenye kujua tatizo anisaidie please
Salama wakuu
Ninawazo la kuanzisha biashara ya kuprint macover ya sim na laptop
Mwenye uwelewa vifaa vinavyo hitajika na printer ya aina gani na kias gan inauzwa anisaidie plz
Wandugu flash yangu hapo mwanzo nilikuwa na weka kwenye radio ya gari ikawa inafanya kazi vizuri sasahivi ukiweka inabakia kwenye ku read tu ila nikiweka kwenye pc inasoma au nikiipachika kwenye...
Habari zenu!
Wataalam wa IT kina Chief-Mkwawa na wadau wengine naombeni msaada. Nina laptop yangu imekuja na operating system yake na baadhi ya programs ila harddrive yake ni ndogo sana.
Sasa...
Utafiti umeonyesha kuwa Ushoga unakuwa biologically determined. watafiti wameendelea kuonyesha kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa na tabia za ushoga na genes fulani na hivyo kutoa mwanga zaidi...
Ndugu wana jf,heading hapo juu inajieleza mimi sijawahi tumia ipad but for now nampango na mimi nimiliki ya kwangu kwa matumizi ya kawaida kama ku surf net,kuangalia movie na kupiga...
Nataka kuchukua diploma ya mechanical engineering na nmechaguliwa DIT na NIT. Kozi ya diplo kwa waliomaliza form6 kama mimi ni miaka miwili NIT lakini DIT ni lazima miaka mitatu. Naombeni ushauri...
Wadau nna tatizo. Ofisini internet ni ya Wireless lakini laptop yangu (sony) haishiki hiyo wireless. Cha ajabu nikiconnect na local area network inashika na nikiconect wireless ya simu (hotspot)...
Hello,
Nina SIMU ya Techno S1 zinazouzwa name kampuni ya Tigo.
Ila hairuhusu mitandao mingine kuendesha 3G. mpaka niweke line ya tigo tu ndo nitumie 3G.
Naombeni code za kufungulia hii Techno...
habari zenu wadau,naomba msaada wenu wakuu nimejiunga na crdb internet banking huu mwezi wa 3 sasa ila kila nikijalibu kufanya malipo online yanagoma ninachoambiwa ni, authorization failed...
Kwenye simu yangu nikifungua jamii forum Kisha nika log in basi Kuna kiduara chekundu kinatokea upande wa chini na simu inakuwa nzito na inastack Sana nashindwa hata kufatilia mjadala nini tatizo...
Wakuu heshima kwenu..
Naomba namna ya kupata app ya automatic call recorder pamoja na deleted sms recovery ......Hizi za kwenye playstore zote hazifanyi kazi kama inavyotakiwa.
Nimejaribu...
Nimetembelea site fulani ya wamarekani na wamenishawishi kuamini wamba ni kweli walitua mwezini. Take a look wanavyosema:-
Did we land on the moon?
I can remember the night of July 20th 1969...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.