Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu nikiwasha computer yangu inaleta ujumbe ufuatao kama unavyoonekana kwenye picha. Haiedelei zaidi ya hapo. Cc Chief-Mkwawa
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari Wakuu, nina maswali mawili kwenu 1. Kuna Gari aina ya Fuso hii Gari ikiwa inatembea alafu Dereva akafunga Break ya ghafla hii Gari inazima japo kakanyaga Clutch (maana inakua katika Gia)...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
ATTACK YOUR FRIEND'S COMPUTER with SMALL VIRUSES.(prepared by Alban) Zingatia hili kabla ya kutengeneza hao virus ni muhimu sana kufaham. (A) Usisubutu kufungua hilo file vile ambalo...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwenye uwezo wa kuhack top eleven game anisaidie
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heko kwenu wadau wa CODING. Nimekuwa nikitafakari mambo yajayo kuhusu maisha nikabaini kuwa lazima niwe na utaalamu au ujuzi kuhusu coding(programming). Kwa kuwa sijawahi kuisoma elimu hii...
2 Reactions
80 Replies
12K Views
Je ungependa uwe na website yako mwenyewe mfano ya Biashara, Blog, Shule ama Binafsi Hello wapendwa humu ndani ningependa nichangie jukwaa kwa kutoa offer nitawatengenezea website bure kwa watu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama kichwa knavyojieleza hapo juu, kuna device 2 mojawapo simu ya Lg Nexus G5 na Mac nathan hii ni pc zina access email yangu kwenye Gmail Kupitia progrm ya Chrome wakati mimi sikuwahi miliki...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau...kama title inavojieleza,naomba kujua EMS wanasafirisha vp documemts zilizo ktk hard copy? Nachohitaji kujua ni haya yafuatayo? *muda unaoweza kutumika kusafirisha... (Mwanza to...
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Habari wanajamii , natafuta cover ya HP 630 hata kama computer haina kifaa chochote mwenye nayo anijulishe tafadhli
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Habari wanajamii, najua zinauzwa zote screen na touch screen lakini nahitaji touch tu kama inawezekana ili kupunguza gharama kama inawezekana asante
1 Reactions
1 Replies
585 Views
Habari za hapa wanajukwaa: Wakuu naombeni msaada Simu yangu ni Nokia lumia 820 Window yake ipo 8:1 Tatzo hii simu ni facebook ndo siingii inakataa inaniambia Niongeze Version ..sasa nikitaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Siku sio nyingi zimepita nimeibiwa laptop na external hard disk. So mpaka sasa data zangu muhimu nyingi zimepotea. Naomba kufahamu kama kuna njia ya kutrack hii laptop ingawa sikumbuki IP address...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wadau.Nilikuwa naomba msaada wa kuelekezwa maduka yanaouza vitu kama tv na redio kwa maeneo ya Musoma.
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Kwanza kabisa nimshukuru member anayeitwa Chief-Mkwawa pamoja na wadau wote wa technolojia waliochangia kwenye ile thread inayohusu kujihadhari na simu za mitandao ya kikorea, China na...
7 Reactions
110 Replies
8K Views
Gurus, Data zilizomo ni 200+ GB. Muhimu sana. Nimejaribu kudownload software ya EaseUs inascan na kuzipreview data zote lakini inadai serial keys ili kuweza kuzirecover. Je, naweza kupata...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Kama topic inavyojieleza wakuu naombeni msaada wa either program au njia ya kuunganisha movie yangu niliyoishusha kwa simu ambayo ipo katika vipande vinne.
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Link 1 http://www.windowscentral.com/official-windows-10-iso-files-now-available-download Link 2 https://www.microsoft.com/en-us/software-download/windows10
6 Reactions
64 Replies
10K Views
kuna thread za mobdro, uktvnow, kodi, na njia mbali mbali za kuangalia tv online lakini zote hizi zina kitu kimoja zinalingana, zote hutegemea server kukupa wewe data hivyo server inavyokuwa na...
8 Reactions
94 Replies
15K Views
Kuna mazoea ya kutumia kitu kwa mda mrefu bila ya kujua sifa zake Leo nitakueleza namna ya kujua sifa za computer yako Njia rahisi ya kujua sifa za computer yako Njia hii ni kwa computer...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Anaekifahamu chuo hiki ubora wake ukoje? kwa course za IT
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom