Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mimi ni Animator from learning jinsi ya kutumia some programs and nataka kutengeneza animation but siwezi kufanya mwenyewe so I need a team au mtu mwenye uwezo na moja yapo Cinema4d Real flow...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazima. Naombeni msaada. Mimi niko Morogoro ila pia nafika fika sana Dar es salaam. Natafuta cable ya kuunganisha simu yangu kwenda Tv, yaani phone to Tv through hdmi. Pia natafuta cable ya...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wadau wa JF,moja kwa moja niende kwenye mada husika,kama tunavyojua na kufahamu kuwa Facebook ni moja kati ya mitandao ya kijamii muhimu sana katika dunia ya sasa,licha ya hivyo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu... Nina tatizo moja,, natumia Gb whatsapp ni latest vission nikiweka video status.. Then nikija kuichek nakuta haitoi sauti but ni video yenye sauti.... Na sijatouch pale pa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu, Ninauliza kama ninaweza pata samsung note 3 mpya na original. Ninaipenda hii simu japo kuwa ni ya zamani. Please wataalamu naomba ushauri na jinsi ya kuipata simu tajwa....!
1 Reactions
7 Replies
713 Views
Habari za muda wadau! Mimi simu yangu ina tatzo moja. Kila nikihitaji kupiga simu inaniambia Acm limit exceeded. Naweza kufanya miamala au kupokea simu lakini siwezi kupiga. Nimejaribu Ku clear...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu naomba kujuzwa ni pad/tablets gani bora za aina ya XIAOMI
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HOW TO REMOVE WINDOWS PASSWORD by using COMMAND no SOFTWARE NEEDED. {1} Turn on or Restart your PC. {2} Hold F8. {3} Select on "Enter safe mode with command prompt". {4} In CMD write this code...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada wa ushauri...natumia HTC Desire...nimejaribu kuweka memory card 4 mpaka sasa zote zinakataa kusoma. Tatizo ni nini?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wataalamu wa teknolojia, nilikua naomba msaada App gani ambayo inafanya kazi tofauti tofauti Katika simu.. Ambayo, inafungua Document mbaliii ambazo zipo Katika mifumo tofauti tofauti Mfano...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hi people, Nina sata hdd ya laptop (Toshiba) nilitia password sasa nimezisahau. Je naweza zitoa vp? Msaada tafadhali!
0 Reactions
3 Replies
631 Views
Inch 32 HD mpyaa Sababu ya kuuza* Nilimnunulia Dem wangu tarehe 17 mwezi huu nikaja kushtuka kanifanya mimi danga lake nimempokonya. Details/ Receipt zote zipo
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Natumaini wana jf ni wazama wote wa afya Nilikuwa naomba kujuzwa jinsi ya kufungua blog kwenye simu ya android Anaye fahamu anielekeze nipo serious hata pm akija fresh lakin hapa ingekuwa...
0 Reactions
1 Replies
343 Views
mimi Jana nimeibiwa simu yangu na IMEI namba zake ninazo na naomba mnisaidie jinsi gan ya kuipata na nimeitruck kwa kutumia find my device inaonekana haipo mbali sana na mimi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mda mrefu ilikua haiwezekan kufanya manunuzi but for now inawezekana kwa msaada wa Epic Computers Tz sasa unaweza nunua Games Tv shows Na vitu vingine ktk PS store Pia Xbox store unachotakiwa...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Kadri dunia inavozidi kwenda ndo jinsi technology inavozidi kukua. Sikuhizi the most popular mode of payment duniani ni cashless. Yani mtu mnafanya biashara bila kupeana ela mkononi. Na a popular...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari za Leo wakuu! Nime unlock airtel modem MF 190 few weeks ago nikatumia Pasi na shida lakini baada ya Ku update windows 10 ya PC to latest haiwezi kudetect modem,nikahisi labda ni drivers...
0 Reactions
7 Replies
860 Views
wakuu nahitaji laptop kwa ajili ya kucheza gaming na graphics designed mambo ya 3D nimejaribu kuulizia dukani price yake ni kubwa na mimi nahitaji kwa haraka nilikua naomba kama kuna mtu ambae...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi si mwandishi wa makala kwa taaluma ila naomba wasimamizi wa JamiiForums msiunganishe mada hii na mada nyingine. Kuna mambo katika ulimwengu inabidi kuwa makini nayo kwani yanaweza kukuumbua...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Msaada vipanga ,simu yangu baadhi ya apps eg adobe na snap chart zinashindwa ku install.simu ina download hadi 100% kisha inarudia tena. Natumia Oppo f5 network na bundle viko ,setting nimesha...
0 Reactions
1 Replies
606 Views
Back
Top Bottom