Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wapi naweza kupata html code of users signup?
0 Reactions
5 Replies
578 Views
Habari wakuu...Mimi nimekua blogger Kwa miaka minne sasa. Hapo awali blog yangu ilikua inaitwa sirizaafyabora.blogspot.com baadae nikanunua domain ikawa sirizaafyabora.com Sasa Mimi sio mtaalamu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa wale ambao wapo interested na Web Programming na wangependa kujifunza na wapo Dodoma waniachie contact details inbox ili tu arrange meetings siku za weekend. Thanks
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana jamvi naombeni msaada wenu namna ya kufunga namba flan isinipate hewani kuna namba zinanisumbua sana tafadhali naombeni msaada wenu ndugu zangu kwa wenye ujuzi.application zingine ninazo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu computer yangu nkiwasha inaniandikia No BOOT DEVICE FOUND na niipress any key inarudi hapo hapo... Msaada wenu wakuu itakuwa na shida gani[emoji24]
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kuelekezwa jinsi ya ku-take screen recording kwenye pc
0 Reactions
6 Replies
935 Views
Hbr wana bodi. Msaada wa kupata hiki kifaa hapa nchini tafadhari
0 Reactions
2 Replies
532 Views
Habari wanabodi Naomba kupata hichi kifaa?
0 Reactions
3 Replies
573 Views
Leo ni kama siku ya 3 kila nikipitia comments ya page nilizozilike fb sion comments zaidi ya zile ambazo waliocomment ni rafiki zangu... Vip hii ni kote au acc yangu ndo ina shida?
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mara nyingi nimekua nikiagiza electronics components kupitia online platform kama alibaba, tatizo vifaa vinachukua mda mrefu kunifikia na kuchelewesha project zangu. Swali langu ni, ni je hapa dar...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Naweka uzi huu kwa dhumuni la kutaka kujua ghalama ya Toolbox complete ya vifaa vya plumbing au hata ukiweza kuniunganisha na wauzaji wa vitu hivo. mjumuisho uwe ni wa vifaa kama vile Pipe Wrench...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu hasa wataalam wa maprogramming. Nataka kujaribu kutengeneza app ya android na specificaaly app ya Ramani(gogle map) ya Tanzania au dar Es salaam ambayo nitauwa nime icustomise. Pamoja...
0 Reactions
74 Replies
30K Views
Habari ndugu zangu kwa wale munaoweza kunisaidia ufumbuzi wa tatizo hili, Natumia iPhone ila kuanzia juzi nikiiweka kwenye charge inaniletea hyo error. Nilikuwa nataka kufahamu nn tatizo hapa?
0 Reactions
8 Replies
755 Views
Naombeni msaada kwa sababu nataka kununua laptop kwa mtu ila naogopa asije akanishikisha...mfano kwa upande simujanja za samsung hua kuna code zake ili uweze kujua ka kitu ni original naomba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
msaada kujua nn maana ya computer clouding na inafanyaje kazi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Salamu wakubwa habari za majukumu. Swala hili limekua likiongelewa sana hapa jukwaani ila mpaka saivi kwangu sijapata suruhisho lililo sahihi kwa kujua je? ni sehemu gani sahihi kwa mdau anayetaka...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Nina YouTube channel Yang ambayo kuna video niki upload zinaweka Msitar mwekundu kwa chini na kuna nyingne zinaweka huo Msitar baada ya kuwa viewed, je tatizo Ni nini👇👇
0 Reactions
4 Replies
853 Views
Simu haifungui picha, nahitaji app gani au nifanyeje. Inakua km hapo chini
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Ninatafuta strong backup app ya windows computer na Linux. Bahati mbaya sana sina uzoefu.
1 Reactions
0 Replies
457 Views
Nina matatizo matatu ndugu zangu. 1/Kurudisha data za HDD zote nilizofuta kwenye recycle bin. Nataka kujua ni app gani itakayonowezesha ku recover data zangu zote. Nimewahi tumia baadhi sema...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom