Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimejaribu Ku boot pic yangu na mwisho imeniletea "No bootable device-- insert boot disk and press any key" kwa yeyote mwenye msaada naomba anisaidie
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Wadau nimeibiwa simu juz kati, hivo napata shida kuwasiliana na ndugu jamaa na marafiki Naomba anae jua jinsi ya kupiga simu kwa kutumia computer anielekeze
0 Reactions
22 Replies
5K Views
wadau naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kuangalia mechi za mpira live kupitia YouTube na kama inawezekana unatumia njia zipi!
0 Reactions
1 Replies
634 Views
YouTube vanced ni a modded YouTube app ambayo inakuwezasha features like Background play Increase resolution(HDR) Change Themes Zoom in and out Many more.... Just visit official site on Vanced
0 Reactions
1 Replies
697 Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba mnisaidie app inayoweza ku-zoom picha iliyopo kwenye video unaonekana kwa ukubwa zaidi wakuu. Kwa mfano, kuna tutorials huwa zinatolewa you tube utakuta zinaelekeza...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Binafsi sio mdau sana wa Bongo movie ila namkubali sana King Majuto pekee, Kuna ile movie inayoitwa "nakwenda kwa mwanangu" Aliigiza na Jb, Nimejaribu YouTube nimekuta vipande vya matangazo tu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekuwa nikitumia Modem muda wote bila tatizo, lakini kuanzia siku chache zilizopita nikichomeka modem inabaki kuonyesha NO SERVICE...hata nikibadili sim card tofauti air tel voda, tigo tatizo ni...
0 Reactions
2 Replies
628 Views
Habari wakuu, naomba msaada wa kujua kama kuna madhara ya kuacha hotspot on kwenye simu muda mrefu. Na hayo madhara ni yapi? Shukrani
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimepoteza simu yangu je naweza kuitrack kwa kutumia app yeyote kama imei namba ninayo zaidi ya find my phone
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Kampuni ya google imethibitisha kwamba kipengele cha mandari ya Dark mode kwa watumiaji wa youtube kimeanza kupatikana Kwa kawaida muonekano wa youtube kwa muda wote umekua wa rang nyeupe Lakini...
1 Reactions
3 Replies
925 Views
Natafuta hii modem tafadhari mwenye nayo aniambie wapi yupo na bei ill come to pick
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Salaam. Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya hili anijuze sehemu kwa hapa DSM ambayo naweza pata mojawapo kati ya hizi gadgets mbili. Thanks in advance.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari Wakuu. Natumai mko poa kabisa. Well, naomba mnisaidie app ya kuonesha kuwa battery ya simu Imeisha chaji hata yani inazima muda si mref wakuu. Kuna mambo tunakutana nayo tunashindwa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Anae hitaji app nauza nnazo mbili moja inausu group link za whatsapp nyingine inausu mambo ya vichekesho pia anae hitaji Google play account nauza bei maelewano nicheki pm tufanye biashara Quo
0 Reactions
2 Replies
911 Views
Habari zenu wana jf, nahitaji mtu anayeweza ku submit website free basics Yaani ku submit kama vile ana submit website yake mi nimejaribu lakini nimeshindwa kabisa sasa naomba msaada.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jinsi ya kuondoa kialama cha headphones kilichobak kwenye simu uku headphones zikiwa hazipo
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Habari waungwana; Kuna file la muhimu sana; liliandaliwa kwa program ya program ya Apache OpenOffice. Mashine iliyotumika kuandaa iliformatiwa kwa bahati mbaya. Sasa file liko kwenye flash...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habarini wakuu kama uzi ulivosema bingwa au mtaalamu wa IT anahitajika fasta Aliyoko ani pm ahsante
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu..juzi nimenunua simu kwa MTU kwa bahati mbaya nmejaribu kuaccess internet imegoma kabisa vile vimishale vya internet vinaonekana lakin akuna kitu.. simu ni sumsang j7...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wakuu!ningependa kuongelea jambo kwa member wa jukwaa la Tech embu tupunguze mizaa tuwe serious na pia jukwaa la Tech kwa sasa limekuwa kama limeinhiliwa zinakuja mada ambazo asilimia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom