Wakuu kuna namna ya kupata au ku crack kasperksky nayutumia pia imeisha mda wake,
pia namna ya ku crack IDM ni mda sasa haifanyi kazi inataka ni prurchase
Simu yangu ni LEAGOO KICAA POWER nimesajili line ya ttcl inasoma vizuri lakini data imegoma kabisa kuwaka nisaidie nifanyeje APN nimeseti vizuri lakini haisomi. Kwenye simu zingine inasoma sijui...
Juzi tulipata taarifa kwa waziri mmoja wa Afrika kusini kwa picha zake za faragha kuvuja.
Jana afisa wa serikali amesema Maafisa usalama ndio waliiba picha hizo na kumtishia Waziri huyo kuwa...
simu yangu imezingua baada ya jaribio la kuiroot haiwaki inaishia kwenye logo, naomba msaada mwenye contact za Fundi mzuri atakaye nitatulia hili tatizo, pia kama kuna fundi kwenye jukwaa hili...
nawezaje kujijua ni rangi gani nichanganye zinaendana wakati nafanya drawing? au natengeneza picha? napenda kufahamu principles inayotumika ilikuleta muonekano mzuri!! na hii inaitwaje kitaalamu
Kwanza fungua WhatsApp yako, kisha click nukta 3 (three dots) kulia mwa simu yako,
Kisha click PRIVACY
Baada ya hapo utaona hivi vyooote na hap ni kwa ajili ya kuvificha ili mtu anaye chati na...
Kutokana na uhaba wa free website hosting services, tumeamua kukuletea huduma hii FREE KABISA.
Hakuna matangazo ya aina yoyote
Pure cpanel Free Hosting
Free SSL Certificate
PHP Selector
Free...
Habar wadau,
Imekuwa bahati mbaya kwangu weekend iliopita nimevunja screen ya simu yangu halafu spea imekuwa mtihani kupata. Kama tunavyojua raha ya smartphone iko kwenye mengi hasa mitandao ya...
nilipokuwa shule nilifundishwa kwamba wingu la mvua ni barafu, sasa hoja yangu ni kwamba ndege inawezaje kupita hayo mawingu bila kupata hitilafu yoyote?
Nina external hard disk ya "Transcend" ambayo nimehifadhi vitu vyangu vingi na muhimu sana.
Sasa sijui nini kimetokea, tangu wiki iliyopita, kila nikiiweka kwenye computer(desktop au laptop) na...
Jana nilitumia computer kwa muda mrefu kidogo ingawa ni kawaida yangu kutumia hivyo..
mara ika zima ghafla, nilipoiwasha ikazima nimeiacha mpaka asubuhi, nimeiwasha tena ikaenda mpaka mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.