Kama kichwa kinavyojieleza, nauza hivi vifaa hapa chini; power supply ya dell workstation t5500, power supply ya dell ndogo, graphics card [galax] gb 2, pamoja na ram 4gb. Bei laki moja tu...
Wakuu leo nimenunua simu Huawei Ascend Mate 7. kumbe ina OS ya Kichina haina hata Google play store japo inafunction vizuri kwa baadhi ya basic apps za simu
Yaani kiufupi nimepigwa. Sasa je...
habar wadau..
juz nmeletewa cm na jamaa angu flan iv akdai cm ake imekuwa slow(nzto)aljarbu kla njia kuirudsha kasi yake akashndwa akataka nmsaidie kuiformat (kwasabu huwa akniona naformat...
ni moja ya game nzuri za snipers ambayo nimeipenda. inaitwa contract killer sniper nachezea kwenye simu. tatizo inataka hatua nyingine ninunue silaha kali ambazo mimi sina pesa maana kuna silaha...
Habari wana JF
Maktaba pekee ya mtandaoni Tanzania ( Tanzania Online Virtual Library ) imefanyiwa marekebisho makubwa ya muonekano, sikuwa nimepitia kwa kipindi cha zaid ya wiki moja sasa, ila...
Najua JF kuna wa taalamu wa kutosha kuhusu photocopy machines.
Kwa anaye jua aina tofauti za photocopy machines, naomba anipe muongozo.
Nina mpango wa kufungua stationery.
Location ni nzuri coz...
Wana jf wenzangu ninawezaje kuunganisha namba ya mtu mwingine na namba yangu ili anapopigiwa niweze kupata details zote kwamba namba ipi imempigia na ameongea nae kwa muda gani na je ametumiwa sms...
Waungwana wa tech salaam!
Nina tatizo. Nimenunua used laptop, HP Elite Book from Dubai. Baada ya kufika tu (jana), yule mtu ambae nilimtuma kuifuata akaiwasha na ikawaka lakini chaji ilikuwa...
Habari wanajamvi. Nimefanikiwa kusetup SMS gateway hadi sasa uwezekeno wakutuma bulk sms umefanikiwa.
Challenges; huu mlolongo wakusajili sender id upoje kwa mitandao husika hapa tanzania. Sms...
Amani iwe nawe mdau wa JF.
➡ Ni muda sasa zoezi (naliita zoezi kwa sababu lina ukakasi) la utekaji wa raia tunaowaona hawana hatia likiwa linajongea taratibu wakati lilikuwa limesinyaa kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.