Habari wakuu..
Naona kila game nilichezalo kwenye ps3 yangu haziwi na high quality kama nitegemeavyo...
Pia mengine mwanzo yalikuwa vizuri baada ya kufanya reset yameharibika kabisa yaani...
Kama kuna mtu yoyote anataka kudowngrade and kuwezesha ps3 yake iweze kucheza games za kudownload
Wasiliana na mimi..
Ps3 yako haijalishi iko firmware gani mimi ninahack ps3 aina zote!! let me...
Wakuu,
Direct ti the point. Nna ps3 yangu ambayo iko chipped na ilikua na firm vers. 4.55cfw sasa mimi bila kuelewa nkajikuta nimeupdate kwenda 4.82OFW (offc firm ware). Sasa games zangu zooote za...
habari wadau.
msaada kuhusu taarifa za ps2 a ps3.
nltaka kujua aina zake na utofauti wake.
mf.
>storage (na unajuaje hard disk ake n ngap)
>njia za kuweka magemu (Cd ,flash ,memory etc)
>na...
Hellow bosses!,
natafuta Experienced website developer kwa ajili ya kutengeneza website
hii website ni kama airtaskers ya austalia au fixchap ya hapa Tz
hii ni kwaajili ya mtu akitaka uduma...
wakuu nataka kuanzisha internet cafe hapo bongo mimi nipo state nataka kujua kawaida how much do you charge per hour this days ?na internet provider fee yao ni kiasi gani kwa mwezi.thanks...
Habari wadau.
Naomba msaada wa ku-block 'call' zote kuingia kwenye simu yangu. Yaani nikipigiwa sipatikani au mtandao unakuwa kama unasumbua vile, lakini napata notification na kuamua nimpigie...
Naitaji kujua ni laptop yenye uwezo upi ambayo itanifaa katika matumizi haya
Graphics Disign
Photoshop
Video editing
Kwenye video editing naitaji kutumia program izi
Adobe premiere
Adobe...
Simu yangu ( TECNO) imeanza kuleta hiki ki pop up kuanzia jana na kuanzia hapo haifanyi chochote hata niki cancel haka ka pop up kanarudi baada ya sekunde chache
Wakuu salaam.
Hivi karibuni computer yangu ilipelekwa kwa fundi kwa tatizo la "Entering power save mode", fundi akabadili RAM.
Sasa baada ya kurudi imeanza tatizo jingine la kutotoa sauti na...
WINDOWS 8.1 serial KEYS
Prepared by alban
4NMMK-QJH7K-F38H2-FQJ24-2J8XV
84NRV-6CJR6-DBDXH-FYTBF-4X49V
3NHJ7-3WWQK-4RFTH-8FHJY-PRYQH
988NM-XKXT9-7YFWH-H2Q3Q-C34DH...
Mimi Nina PC ambayo nimenunua hard drive mpya numeingiza winndow 7 nikiwasha inasema windows haijakamilika ni hi install upya nimeambiwa mother board mbovu nikweli!??
habari ndugu zangu kijana mwenzuni nipo hapa tena.
nisiwachoshe sana wakulugenzi kijana mwenzunu nimedondoka na ombeni muniinue.
nina mpango wakuanzisha offis ndogo amba nita dili na ishu za...
Kwanza naomba tu nikiri kwamba sina muda mrefu sana tangu nimezifahamu simu za Google pixel, nilianza kuijua simu ya google pixel 2Xl, baada ya kuwatch video fulani youtube ambapo Kuna jamaa mmoja...
Habari wadau
Nina Source code ya App za Android na Ios, sasa Bahati Mbaya Mimi Sio Mjuzi sana wa Ionic Hivyo basi Namtafuta Developer anaejua Kutumia Ionic 3 Niweze Kumpa Kazi ya Kunimalizia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.