Habari zenu wapendwa!!!
Kwa muda mrefu natafuta namna ya kutuma pm but nashindwa niingie wapi.
Najua almost woote humu ndani ya nyumba mnajua, naomba nami mnisaidie nijue tafadhali.
Thanks in...
Msaada wakuu kama heading inavyoelekeza hapo juu naomba msaada wa kuweka Tab kwa ajili ya Registration kwenye blog ila sasa katika hiyo menu tab iwe na sehemu ya malipo nimedesign blog yangu kwa...
Nimekwama padogo sana na nimejitahidi kila kona mimi kama mimi, ila nimekwama.
Siwezi kutumia telegream app kwa bando la kawaida la mtandao husika katika hii nchi ya kiarabu, isipokuwa mpaka...
Wadau natafuta line au chip ya namna hii. Sim card ambayo itaweza kufanya Roaming popote niendapo hata nje ya nchi huku nikiweza kupokea na kupiga simu bure bila kikomo, kupokea na kutuma SMS bure...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo, natumia simu aina ya simu Nokia Asha screen touch, nimejaribu lakini nimeshindwa kuna mtu sitaki awasiliane na mimi
Wadau mmeamkaje
Nna laptop yangu aina ya HP G62. Feni yake inazunguka kwa sauti sana na mara nyingi computer huwa inazina halafu naiwasha tena lkn baada ya muda inazima tena. Na ikiwaka naisikia...
Habarini wanajamvi.
Shida yangu ni kuhusu net katika simu yangu yaani nikijiunga na mb 200 basi ni dakika tu kinaisha wakati nimefungua data tu tena kwa kuperuzi tu jf ndani ya dakika 20...
Nnaomba msaada ,ni king'amuzi gani ambacho sio cha kulipia kwa mwezi ambacho ninaweza kupata mpira league ya uingereza....Na bei yake ni shilling ngapi?
This sounds filmy, but Google Project Zero security researcher Natalie Silvanovich found a critical vulnerability in WhatsApp messenger that could have allowed hackers to remotely take full...
Naomba msaada wa kufahamishwa mtandao upi wa simu una bundles nzuri na za bei nafuu?
Mimi uwa napenda sana kudownload movies, series nk, sasa tangu voda waondoe kile kifushi cha masaa 24 kwa sh...
Wakuu habarini za asubuhi?
Samahanini wakuu,Leo nipo huku Upareni milimani Mamba Miamba sasa Wazee wangu nimewanunulia dish la Startime sasa ishu ipo kwenye how to install iyo kitu,Kidogo nina...
Habari za mida wakuu,kuna mbinu flani imejitokeza kwa baadhi ya watu wachache ya kuunga vifurushi hasa gb 60 kwa sim card za voda kwa kubadili IMEI za simu hasa Tecno Y2,Huawei na nyingine...
Habari za jioni wazee wenzangu.
Nahitaji Brand new Galaxy J7 pro Mpyaaaaaaaaaa
Njoo na bei yako, Pia kama una simu yenye specifications kama hii pia Njoo lakini isiwe chines Brand
Wakuu kwa wiki nzima nashindwa kuona status za watu wala kupata meseji za group .
Nikijaribu kupost status kwangu zinaonekana ila za wengine nashindwa kuziona ,tatizo nini hapa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.