Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu huu uzi ni kwa wanajamvi wanaopenda video games ziwe za pc, ps, x-box, psp nk Leo nimependa kujaribu kuweka list ya game ambazo ni zinakuja kwa kasi sana japo sio zinapendwa na watu...
1 Reactions
101 Replies
14K Views
wakuu, nahitaji simple satellite finder nimeona hawa mafundi wa madishi tunazinguana tu..nahitaji satellite finder nipo mkoani ila natarajia kwenda dar hivi karibun..wapi nitapata hiyo kitu na...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Bongo TV's ni app mpya ambayo unaweza. Kuangalia channel kutoka Tanzania na nje ya Tanzania kama aljazeera,DW,CCTV bila kusahau channel za michezo.kwa sasa ipo katika majaribio nakaribisha maoni...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
nawezaje kutengeneza more than one table na kuzi link ? yaani kuifanya relational database?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hackers kutoka Tanzania waingilia tovoti ya universtiy of dar es salaam kitengo cha aquatic wanadai serikali inawasomesha lakini ajira wanapeana kindugu na zoezi hili ni endelevu...
7 Reactions
150 Replies
23K Views
Salam wadau, naitaji ku hide calls, sms na whatsapp chart bila kuroot simu. Natumia android 7
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Habar zenu wakuu,, namiliki simu aina ya Samsung ni week sasa tangu niipate tatzo linalonisumbua kipa mda inaniletea up ujumbe Unfortunately WhatsApp has stopped, Nmejaribu Ku ireset na kudownload...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari za saa hizi wanajamvi. Kuna tatizo leo nimeliona kwenye account yangu ya Adsense na cjazoea kabisa. Nina PAGEVIEW 3200 kwenye blog yangu lakini nikifungua Adsense account kuna PAGEVIEW...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu Microsoft office wametoa version mpya ya 2019 ikichukua nafasi ya mso 2016 Naona wanaisifia sn kwaba ina features nyingi na nzuri. Ila kikubwa sasa ndio inauzwa USD 49.99. Ombi kwa...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Heshima kwenu, video file zangu zote pamoja na photo zote zinaonesha type of file: CEPVI File (.cepvi), na sasa hazifunguki. Msaada tafadhali, nimetafuta msaada kwenye net nimekosa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kizuri Kushare Kuna offer inaendelea Kwa Domain Ni $0.88 pamoja na ICANN fee $ 0.18 total inakuwa $1.06 = Tsh 2,419 kwa mwaka ila ku renew baada ya mwaka ni kama $13 Kununua domain kwenye landing...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau watoto wangu nikiacha simu tu sheeda utakuta wanatembelea mitandao yoote ya kijamii nahitaji anayejua kulock hiyo mitandao ktk simu sio kuweka password
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu, . Mwaka 2001,niliamua kuwa karibu na kompyuta.Katika mambo mengi,nilikutana na neno Virus,Nilitaka kufahamu inasababishwa na nini?halafu nikafanikiwa kufahamu namna ya kukabiliana na...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Naomba maelezo zaidi,unahisi ni battery la mashine gani?imekaa kama dell zile za zamani kabisa ila sikumbuki model.Wadau msaada jamani mzigo huu nataka nikauze.bei ya makisio 35,000/ tunaweza pata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau habarini za kwenu Plz naomba mnisaidie namna ya ku- Google na kusoma vitabu mbalimbali online lakini pia namna nitakavyoweza kupata free e- books ....msaada tafadhali
0 Reactions
27 Replies
18K Views
Wakuu kwema... Nina laptop yangu acer aspire v3-531 haipeleki chaji ghafla tu wakati naitumia na adapter inaonesha moto upo nimejaribu na testa,. Shida hapa itakua ni nini wakuu???
0 Reactions
6 Replies
776 Views
Bongo TV's ni app mpya ambayo unaweza. Kuangalia channel kutoka Tanzania na nje ya Tanzania kama aljazeera,DW,CCTV bila kusahau channel za michezo.kwa sasa ipo katika majaribio nakaribisha maoni...
1 Reactions
1 Replies
932 Views
Habari wanajamvi Katika kupita pita mitandaoni nimekuta jamaa wananadi kifaa hiki MXQ Pro 4K ambacho ni kisimbusi ambacho unalipia wakati unanunua tu yaani 80,000/=. Baada ya hapo hakuna malipo...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Watalaam kwema? ,chaja yangu ya laptop aina ya Asus imeacha kufanya kazi ghafla. Naomba msaada wenu kujua nini tatizo juu ya Chaja hiyo na nifanyeje ili iweze kufanya kazi.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwenye almecha ya grenda naomba tuwasiliane 0715300303 ,tufanye biashara
0 Reactions
2 Replies
430 Views
Back
Top Bottom