Hii laini nimeisajli juzi lakini chakushangaza inagoma Ku connect internet, nimeweka internet settings walizonitumia tigo lakini kila nikifungua data haionekani juu ya simu nimejaribu kwenye...
Heshima kwenu wana jf.
Ndugu zangu nilifuta video zangu kutoka kwenye pc. Nimetumia minintool recovery, recuva, easus data recovery mwisho wa siku nimeambulia kupata baadhi ya clips za video hii...
Naomba sapoti yenu nami pia nitatoaa sapoti kwa lile ninaloliweza tukutanane hapa mbezitz kwa tool na mafunzo ya kutengeneza simu
Vijana tuwezeshane katika kauli ya viwanda tukikutana wanne...
Anae hitaji app nauza nnazo mbili moja inausu group link za whatsapp nyingine inausu mambo ya vichekesho pia anae hitaji Google play account nauza bei maelewano nicheki pm tufanye biashara
AMA KWA HAKIKA UKAWA WAMEJIPANGA BARABARA MWAKA HUU,
TEKNOLOJIA YA DRONE CAMERA NADHANI NI MARA YA KWANZA KATIKA MEDANI ZA KISIASA NCHINI.
WADAU WA TEKNOLOJIA KARIBUNI TUJAZANE ZAIDI JUU YA...
Habari wana JF, Natumaini wote mnaendelea salama, Najua kuna watu bado wanasumbuka kutafuta App kwaajili ya tovuti zao za wordpress, Kuliona hilo Tanzania Tech tunawaletea App ambayo mtu yoyote...
Kuna simu nimeletewa kutoka ng'ambo lakini kidogo inanichanganya.
No simu aina ya LG Phoenix 3. Wao wameandika 4G LTE, lakini ukiweka sim card kwenye mtandao inasoma we EDGE. Nimejaribu kuangalia...
Wakuu habari zenu,
Tangu jana nimeshindwa ku connect Wi fi kwenye Laptop Hp kwani ile button (taa)ya Wi fi kwenye keyboard hata nikibonyeza haibadilishi rangi ili kuwasha Wireless connection,rangi...
Wakuu habari za saa hizi, mm nna king'amuzi changu cha azam sijakitumia muda mrefu kama miezi mitatu sasa leo nimeamuwa kukitumia lakini kinaniandikia kuwa smart card is expired so wakuu nifanyeje...
Naomba kupatiwa msaada kwa tatizo hili maana C P U ni ya mtumba aina ya HP nimenunua nimeona hyo shida na ina siku 3 tangu nimeinunua..nimejishauri kuirudisha lakini nikaona si vyema kwanza kabla...
Kwa ambao mtakuwa mnafatilia processor za Hi-silicon kirin. Mnaweza kuona kwamba nayo ni moja ya processor nzuri na mtumiaji mkubwa wa hii processor amekuwa ni Huawei kwa sehemu kubwa...
Habari wana JF, Natumain wote humu mko salama kabisa. Leo tulikuwa tunatafuta app nzuri za kitanzania za kushiriki na wasomaji wetu wa tovuti ya Tanzania Tech, lakini kwa haraka haraka...
Habari wakuu wa Vitengo popote mlipo
Naomba kujua ubora wa hizi tablets za CCIT. Naona ni tablets zenye specifications nzuri lakini naona bei yake ipo chini. Naomba experience kwa mtu yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.