Habari zenu wakuu
Simu yangu sielewi ina tatizo la betri ama laa. Nikicharge ikifika 100% nikichomoa inakuja 99% au saa zingine 95%
Na si chini ya watu wa3 mpaka wa4 nimewasikia wanalalamikia...
Habar zenu wakuu
Naomba msaada hivi karibuni
nimenunua Home theatre ya mtumba aina ya LG sema nimekosa waya wa fm antenna wapi naweza kupata nimejaribu kwa mafundi nimekosa...nipo DSm
Wakuu,
Tangia nime restore CM yang tecno w4 kila nikiconnect internet kweny PC inaniambia limited... But hapo nyuma haikuwa hvo
Jana nimejaribu kumconnect CM ya mtu kwa wireless yang iliandika...
Wadau habarini....
Kutokana na mambo kurahisishwa sasa hivi kwamba unaweza check movie online sio km zamani uanze kutafuta maCD, DVD au download.
Nimependezewa na kuangalia movie online ila sasa...
mafundi tujuzane kuhusu ufundi sm kama vile mic umekufa njia zake,speaker,vibration,batan kufa mstari mmoja kwenda kulia ama kushuka,system chaji kufa njia zake,network kuchubuka njia moja,
Habari wana jf mi n mgeni ninaomba yeyote anaejua jinsi y kutumia intanet bure kweny pc nliona post zaman kuhusu ili suala ila ckuweza kufatilia kwa kina sababu c kuwa na pc. Msaada wenu jaman.
Hivi sasa kuna uwezekano wa kusomwa meseji za wateja katika mitandao tofauti bila ridhaa yao au bila agizo la kimahakama, Secure SmS haita muwezesha mtu yeyote kujua nini ulicho muandikia rafiki...
Habari za usiku ndugu zangu,najivunia uwepo wenu koz hakuna kinacho shindikana mbele zenu
Nina shida na comoyuta yangu ni lenovo b 50 now ina window 7 nlinunua kwa jamaa ina HDD 500 GB RAM NI 4GB...
Wakuu habari za humu ndani
Nina tatizo la device zangu kushindwa ku access emails za gmail, ninatumia mtandao wa TTCL ninatumia hotspot tethering kutoka kwenye Tablet ya Lenovo. Website nyengine...
Habari zenu wakubwa ,tokea zamani nimekuwa nikivutiwa na mfumo wa computer na baadae nikajua unaitwa programing na kutokana na kufuatilia kwa watu wanasema hivi vitu hata mtandaoni unajifunza...
Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili.
Mi si mtaalam wa IT japo nina idea kidogo.
Naomba kufahamishwa kazi za hivyo vitu kwenye computer...
Kwa mfano kwa processor zipo za aina ngapi au zipi ni...
Wakuu kwa ambae anatumia s7 edge hizi zianazouzwa laki 7 mpaka 8 ebu anipe uzoefu wake.
Nataka kununua hii simu sasa sijui mapungufu yake,kinga ni bora kuliko tiba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.