Jaman habari naitaji mtu ambae anaweza kunsaidia kujiunga niwe nasajili watu kifurush cha university offer .Mambo ya Hela tutaongea zaidi unaweza ukafanya kucoment au ukanitext tu (0753395920)...
Kwa wale Wadau wenzangu najua wengi wenu mmezoa ku-burn DVD video kupitia software ya NERO 7/8,window 7 Dvd maker n.k.kuna hii Software inaitwa Adobe Encore ambayo huja sambamba na Adobe...
Heri wanajamvi. Ni tumaini langu mu wazima wa afya.
Nahitaji msaada.
Nina mteja,anatumia Printer ya HP Laserjet 1320. Machines zake zina windows 7,8 na 10. Badhi 32bits nyingine 64bits...
za mchana wadau?
nna swali hapa linanitatiza hv nikitumia vpn kwa pc ya kazini naweza kublock na kuhack zile internet security wanazozifungia kwa baadhi ya websites.
Moja kati ya game kali sana enzi hizo, nimeitafuta kwa siku 2 mfululizo bahati mbaya nashindwa kuipata ambayo inakubali ktk windows 10, sijajua nalosea ama vipi..
Je kuna mtu ambaye anayo hii...
Kama ni mgeni wa kuroot soma hizi kwanza[emoji116]
Jinsi ya ku unlock bootloader kwenye tecno
Twende sasa
MAHITAJI
Kompyuta
Recovery
Super SU
Vcom drivers
SP flash tool
Baadhi ya...
Hii hapa ni jinsi ya kuweka window kwa
kutumia flash.
1. Tafuta software inaitwa power iso.
2. Install hiyo power iso.
3. Uwe na flash kuanzia gb 4 kama
unawepa windows 7. 4.
Tengeneza image...
Wadau kuna jamaa yangu ana simu tecno k7 Ila alisahau patten,gmail aliyosajilia awali na hata namba ya simu maana laini yake ilipotea akasajili mpya na mbaya zaidi alimpa MTU akamfanyia head reset...
WAandugu habarini nimeibiwa simu aina ya sumsang J5 grand prime. Nimeripot kituo cha police na kufungua jalada la uchunguzi. Nina IMEI namba za hiyo simu. Kikubwa nilipapuliwa na Boda Boda wakati...
Habari zenu ndugu zangu wataalam wa haya maswala, ninahaja sana app ya kutafasiri kitabu kutoka English to Swahili, au Swahili to Englishi, kiafaransa na kijerumani
Naomba msaada huo wataalam...
Nina memory card yangu ya Tecno 32 Gb tatzo lake ni kidownload music mfano music umeingia kwenye phone storage nikitaka kucopy nikipeleka kwenye memory music hau play sasa sijui nn ni tatzo mpaka...
Samahani sana wakubwa.
Naomba kuuliza kwamba, je nawezaje kuunganisha simu janja (smartphone) na projector? Je ujanja gani nitumie ili niweze kuunganisha simu itumike moja kwa moja kwenye...
Habari Wakuu,
Baada ya Vodacom kupandisha gharama ya vifurushi vyao. Nimeamua kuiweka line yao pembeni na kuchukua TTCL. Ila sitaki kupoteza wateja wangu wa Vodacom.
Nahitaji kudivert line ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.