Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu msaada wenu tafadhali tangu Leo asubuhi kila nikimpigia mtu simu haziend na nikipigiwa naonekana busy.... Msaada wakuu nisolve hili Nawasilisha
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Msaada aliye na utaalam wa ku-convert video kutoka mp4 kwenda mpeg4 naomba anisaidie nitumie app gani ambayo nitadownload kwenye sim Au nisaidie app ya kudownload video kutoka YouTube moja kwa...
0 Reactions
2 Replies
695 Views
Habari za mda wakuu Nahitaji laptop aina ya hp inayotumia processor ya AMD fourth generation yenye Ram kuanzia 4GB na HDD mia 500 kioo kikubwa kuanzia nchi 18 au 16 Kiasi laki 300000
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa mara kwanza kuziona power bank sokoni nilizani watu wengi tunao tumia smartphone tutakuwa tumekomboka. kumbe nilikuwa nawaza kinyume chake. na toka nianze kununua power bank sijawahi...
15 Reactions
138 Replies
18K Views
NALA ni App ya kufanya miamala kupitia simu ya mkononi kwa kutumia mitandao hii ya simu. Imeundwa na Mchizi alie maliza Stanford University, Benjamin Ferdnandez yule alie kataa mshahara wa USD...
1 Reactions
37 Replies
9K Views
Habari za jioni wana jf dhumuni la Uzi huu kutaka kuwauliza wapenzi wa filamu za kimarekani kama mimi ni kinga'muzi kipi nitapata channels za movies za nnje kwa bei nzuri za malipo ya mwezi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
kama kichwa kinavyojieleza... naomba msaada kujua wapi ntapata Rane controller.. mwanzo nilikuwa natumia pioneer ila nimeshaichoka.. ntashukuru nikipata majibu hapa..
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Salamu,Kama uzi usemavyo naomba mwenye kufahamu apps nzur za kuhide background kweny picha na kifanya editing tofautitofauti kweny picha anisaidie. Msaada wenu pls..
0 Reactions
2 Replies
531 Views
Habari za siku wadau Na site yangu nataka niweke urahisi wa mtumiaji kulogin kwa facebook bila kuangaika kujisajili sasa nimeijaribu hii app ya Facebook nikitaka niifungue napata error hii "URL...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Naomba ujuzi jinsi ya kupata google analytics property tracking ID nimejaribu pale kwenye countries sijaona tz ambaye amesha pata hii account naomba msaada.
0 Reactions
3 Replies
609 Views
Wakuu naombeni msaada kidogo wakujua app nzuri ya kulinda simu. Simu yangu inanipa presha sana,wezi wameikosa kosa kama mara 3. App nyingi hazifanyi kazi vizuri,nyingi mpaka uroot simu.Kwa upande...
0 Reactions
1 Replies
740 Views
Wadau habari za mchana nilikuwa nahitaji kujua kuwa mechi za kesho za kombe la Carabao cup kati ya man united vs derby county na ya kesho kutwa kati ya Chelsea vs Liverpool zinaoneahwa na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Samsung kuna kitu inapaswa wajifunze kutoka kwa wapinzani wao apple inc,nasema hivi kwa sababu haya ni maoni yangu binafsi na mtazamo wangu juu ya kampuni kubwa kama hili kuwa kila siku wanafanya...
21 Reactions
143 Replies
16K Views
Habarini wakuu.. Kwa mwenye uelewa juu ya hiyo kitu naomba msaada tafadhari.. - ina-cover nini(coverage yake chuon au curriculum yake) - soko lake la ajira tz likoje -vip kuhusu uhusiano wa...
1 Reactions
2 Replies
751 Views
Ni dhahiri kabisa kuwa bila simu za tecno watu wengi tusingekua tunatumia smartphone. faida kubwa ya simu za tecno ni kua *Bei ni rahisi hadi 150k tshs Hii inasaidia watu kutumia kipato chao...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Ni baadhi ya maneno kuoka kampuni Fulani hivo wadau simu inawexaje kukuingizia kipato?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
VBA
VBA anaeijua vizuri kuna mtu anataka kufundishwa location: Dar interested people: inbox me
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2018 mchepuo wa ECA na nimechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dar es salaam,kitivo cha uhasibu .Swali langu je,naweza kuwa Programmer au Blogger mzuri kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habari za mchana,, Naomba mweny link ya firmware ya y3 plus ya 2016 aiweke hapa jukwaani...au kama unaweza nisaidia backup pia nitashukuru wakuu...files ninazokutana nazo ni za 2015 model...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana JF, Nahitaji Kuboresha Mfumo wangu wa Malipo katika Website yangu Maana Inatakiwa Mtu Aweke pesa kwenye akaubti yake (Deposit) au atoe pesa (withdraw) kwa kutumia Njia ya Simu ambayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom