Habarini? wakuu najua hii hutegemeana sana na idadi ya watu wanaotembelea hiyo site. Ningependa tu kujua kwa wastani huwa wanalipaje. kama una taarifa kuhusu malipo kwenye TV, radio, youtube...
Simu yang nikiiwekea lain inasema sim locked alafu nikitoa inakua safi je nini tatizo maana inaonesha ivo kwa kila laini wakati hakuna lain ambayo nimeifungia
Hili la note 9 huyu mpaka kafungua na Kesi kabisa
Woman sues Samsung after Note 9 phone 'burst into flames' inside purse
Not(e) Again - Samsung Sued By User As Galaxy Note 9 Bursts Into Flames...
Nimekuja na Uzi huu kwa ajili ya wanajamii forums wale wapenda followers nifuateni trick hizi ila kama unayo nyingine tupia humu tuwapunguzie watu wanaonunua akaunti wasiibiwe.
1.follow watu wengi...
Habari zenu ndugu zangu wa JF:
NIMENUNUA UPS MPYA MIEZI KADHAA NYUMA ILI NIITUMIE KWA BAHATI MBAYA HAIKUWA HIVYO NA NILIAMUA KIHIFADHI NDANI IKIWA HATA BOX SIKUCHANANA,SASA NIMETOA KILA...
Habari wanaJF, natumaini wote ni wazima. Mimi ni member mpya kabisa waJF natumia muda huu kuwapa website mbili bora ninazozitumia mimi kutazama movies online hii ni kwa wale wote wenye mapenzi na...
Habari jamani,, laptop yangu ni dell, niliiwasha ikawa inafanya updating baada ya muda ikafail kuupdate nikaamua kuuzima tena ili niiwashe upya baada ya hapo ikawa inawaka lakin haimalizii kuwaka...
Samahani jamani mimi nina sim aina ya Tecno s1, juz nlii update sasa wakati inawaka ikaniandikia enter ME lock,sasa mmi sijaelewa hyo ME lock ndo ipi.tafadhari naombeni msaada
katika dodosa dodosa zangu nikakutana na kesi matata baina ya Google na jumuiya ya waandishi huko marekani japo kesi iliisha kwa Google kushinda kwa mianya ya kisheria kwa matumizi ya Fair use...
Naomba kujua ni chuo gani ama mahali gani nitapata kozi za muda mfupi kujifunza innovations hasa fabrication za mashine mbalimbali zinazohusiana na kilimo na mifugo?
Wale wanaoibeza na kusema Tecno sio simu nzuri nafikiri hawazijui.
Kwa mwaka wa tano sasa natumia TECNO sijaona tatizo lolote. Kazi zinapiga fresh. Design, na mengine kibao
Kwanza kabisa habari wakuu.
Well, kuna baadhi ya simu nilikuwa natumia zamani kidogo ilikuwa ukiongea na simu unaweza kuweka noisy environment unapoongea na simu mtu akajua kama vile upo sehemu...
Nimenunu subwoofer aina ya Aborder
Model:AB 118
Nimetumia dani ya wiki mbili
Sipeaker ndogo zimegoma hazifanyi kazi
Hapo tatizo nini
Naombeni msaada wenu
Asanteni
Imedondoka... imepata nyufa kidogo kwenye kioo cha juu lakini wino haujavujia! Swali; kuna haja ya kununua screen mpya? Ama hiihii yaweza fanyiwa matengenezo?
*MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KUEPUKA MATUKIO YA MOTO UNAOSABABISHWA NA UMEME MAJUMBANI*.
napenda kuwasalim ngud wana jukwaa wote na badaa ya salam naileta kwenu kama nilivoipokea kutoka kwa mtaalam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.