Habari za mchana wakuu, kama title inavyoonekana, kumekuwepo na matukio ya moto ktk vyombo vya usafiri haswa mabasi na malori makubwa yaendayo mikoani na nchi za jirani.
Ningependa kupata...
sory kwenu wadau kama kuna mtu anaweza nisaidia software ya azam tv inayotumika kwenye computer inayotumia windows. nitashukuru sana kwa atayenisaidia kuipata hii
Salaam wakuu, nimejaribu ku update OS ya mac yangu ila imenishinda. Kila nikijaribu ku command kwenye mac OS high siera inaniambia software haziendani... Msaada pls, OS version yangu ni 10.8.5.
Habari za kazi wadau,naombeni kusaidiwa kwa hili.Nimenunua mzigo ebay leo asubuhi kwa kutumia paypal,lakini baada ya muda kuingia tena kwenye akaunti yangu ya ebay,nimeshindwa tena kuingia.kila...
Jaman habar zenu .samahan Nina katatizo kidogo nimeajaribu kudownload movie kupitia pirate Bay but Inanambia 503 error . nimeajaribu fz movies imegoma hebu nisaidien Kama Kuna mtu Yuko vizur maana...
Habar zenu wanaJF..
Hii ni post ya kwanza kwnye jamvi hili, natumaini ntapata ushirikiano wa kutosha (In shah Allah)
Nimepata changamoto kwnye PC yngu. Natumia dell lattitude 64000. Mara ya mwsho...
Nimetengeneza website na app inayowakutanisha wauzaji na wanunuzi hii hapa Gulio Store pia App yake imeshakamilika bado kuiweka playstore
ila hii yangu nataka niwe specialize kwa wauzaji wa jumla...
Kama ilivyo hapo juu, kuna simu yangu aina ya Nokia c6 ina tatizo la mkanda unaounganisha processor na kiio/ display screen.
Mwenye kujua au mwenye kuniwezesha nipate huo "mkanda" tafadhali...
Condition: New
Processor: Intel Core i3 (6th Gen)
Hard Disk: 500 GB
RAM: 4 GB
Display: 15.6"
Operating System: Windows 10 Pro 64-Bit
Additional Software: Microsoft Office Professional Plus 2013
Kuna website and androids apps inayopatikana play store kwa jina la SOKOVITU, ni apps nzuri kwa ajili ya advertisement ya Real estates, Magari, aina mbalimbali za Nguo pamoja na aina zote za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.